Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
kwa hiki kizazi cha wagalatia ni wachache sana wanaoweza kujitoa muhanga kama huyo baba MziziMkavu wengi wetu ukikumbwa na balaa tena akijua litamhusu maisha usishangae kuanzishiwa vitimbwi hadi uhame nyumba,i wish my prayers will be granted!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!UPENDO WA AGAPE
Last edited by a moderator: