Submit domain yako ktk search engines | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Submit domain yako ktk search engines

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Donn, Sep 15, 2012.

 1. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habari wana jamvi, hii ni moja ya njia za kuipa domain yako mpya urahisi zaidi wa kuonekana katika search engines. Haijalish kuwa ni .tk ama free domain yoyote. Bofya hapa na ujaribu.

  Njia nyingine ya kupata rank nzuri ama info zako kuonekana katika search ni kuweka link back yaani kuiandika domain yako katika website zenye rank nzuri katika search engines, hii ni njia inayotoa mafanikio zaidi. Lakini jaribu zote kwa matokeo mazuri zaidi

  Note
  Matokeo si papo kwa papo.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu...
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  submitted
   
Loading...