ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
ila hizo pampu utendaji wake wa kazi ni kweli mkuuHabari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani
ila hizo pampu utendaji wake wa kazi ni kweli mkuu
Dowa Korea kusini zina nguvu,ila inategemea na mahitaji yako ya flow ratesHabari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani
Bei ya kama uliyotaja ni kiasi gani?Dowa Korea kusini zina nguvu,ila inategemea na mahitaji yako ya flow rates
Naomba web yao pls nimejaribu ku-google sijaona hio brand. Thanks thouDowa Korea kusini zina nguvu,ila inategemea na mahitaji yako ya flow rates
Hio inahitaji panel za watts ngapi? Naomba pia jina la hio brand niitafute online au nigaize vijana wangu wa Canada wanitafutieJaribu canada mimi nimenunua ina toa liter 3500 kwa lisaa ni nzuri na nireliable sana maana kwa siku nzima inapandisha mpaka lita 45000
Naomba details za pump hiyo.Jaribu canada mimi nimenunua ina toa liter 3500 kwa lisaa ni nzuri na nireliable sana maana kwa siku nzima inapandisha mpaka lita 45000
Kwanini uende Canada kaka.Hio inahitaji panel za watts ngapi? Naomba pia jina la hio brand niitafute online au nigaize vijana wangu wa Canada wanitafutie
Water Pumps - Select from a List of Water Pumps from our Store - Davis & Shirtliff GroupHabari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani
Kuna kampuni dar inaitwa PROACTIVE SOLLAR PUMPS WANAZO ZA UKWELI. Ila nilipoteza mawasiliano yao ukinipa siku 2 nayatafuta. Au jaribu kugoogleNaomba details za pump hiyo.
Yaani ni aina gani (brand name), specification zake na indicative price ulionunulia.
Thanks mkuu.
Proactive solar pumps. Wapo dar wanazo system nzima yaani pump, battery, sollar pannels nk. Ni mahitaji yako tu. Namba yao 0622 000 038Habari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani
Kuna kampuni dar inaitwa PROACTIVE SOLLAR PUMPS WANAZO ZA UKWELI. Ila nilipoteza mawasiliano yao ukinipa siku 2 nayatafuta. Au jaribu kugoogle
Kuna kampuni dar inaitwa PROACTIVE SOLLAR PUMPS WANAZO ZA UKWELI. Ila nilipoteza mawasiliano yao ukinipa siku 2 nayatafuta. Au jaribu kugoogle
www.simusolar.comHabari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani