Subaru

dhk1

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
915
532
wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na kwingineko,nimefungua duka la spare za subaru.
Napatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel(zamani AM hotel)
wote mnakaribishwa
 
Kama jukwaa ulilotumia sio sahihi!weka kwa matangazo madogo madogo natumai ingekuwa poa.Ujumbe umefika
 
wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na kwingineko,nimefungua duka la spare za subaru.
Napatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel(zamani AM hotel)
wote mnakaribishwa
nitafutie body ya forester kaka
 
Kuna group ya Tanzania subaru fans katika facebook jiunge nao na uweke tangazo lako.
 
wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na kwingineko,nimefungua duka la spare za subaru.
Napatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel(zamani AM hotel)
wote mnakaribishwa

Nenda Arusha, subaru forester mingi za kumwaga vijana wa mererani na wale ma-bankteller wanazipenda sana
 
Safi sana kama unafata mzigo Japan nakushauri upakie na vya extrail Nissan. Twapata shida ya vifaa na wateja wengi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom