Subaru outbox mnyama hatari kuliko subaru zingine

Unataka gari lichakachuliwe liwe na speed zaidi ya 180 kwa barabara zipi hapa nchini...?

Kwa kifupi haiwezeka gear box imetengenezwa kuhimili mwisho 180
 
Unaponunua gari lazima ujiulize unahitaji gari gani, kwa ajili ya matumizi gani, na mara nyingi matumizi ndo yanaamua gari gani inahitajika. Jambo lingine ni kipato/uchumi. Sioni mantiki kuwa na gari ya cc 2500 wakati matumizi yangu ni kutoka home, kwenda kazini, town na kanisani. kumbuka watz wengi magari haya ya kutembelea hayaleti hela bali yanatumia tuu sasa why nijitese.

Nilitarajia Spacio, Isis, Wish ama ingine jamii hizo ila nikaangukia kwa Opa. So far naona iko poa tu. Haiumizi kwa safari za sheli.
 
Unataka gari lichakachuliwe liwe na speed zaidi ya 180 kwa barabara zipi hapa nchini...?

Kwa kifupi haiwezeka gear box imetengenezwa kuhimili mwisho 180
Unaeza vunja ECU ukajiongezea zako ila itabidi ubadili gear ratios.
 
Nilitarajia nione picha ya mnyama aliyesemwa ni mkali ila cha kushangaza imewekwa picha ya gari
 
Subaru Outback, hii ndio subaru nayoikubali kuliko zote kwa design na muonekano ukiacha ile Legacy sedan.
 
Back
Top Bottom