Subaru outbox mnyama hatari kuliko subaru zingine

Llio 002

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
1,056
Points
2,000
Llio 002

Llio 002

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
1,056 2,000
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM
Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF
Tax calculator ni kama 6.5 million
Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD

Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?
img-20190612-wa0003-jpeg.1125603
img-20190612-wa0004-jpeg.1125604
img-20190612-wa0005-jpeg.1125605
 
M

MtamuMix

Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
89
Points
125
M

MtamuMix

Member
Joined Feb 10, 2018
89 125
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM
Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF
Tax calculator ni kama 6.5 million
Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD

Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?View attachment 1125603View attachment 1125604View attachment 1125605
Hizo Cc tu ndo imeniondoa kwenye uzi. mimi zaidi ya cc 2000 sitaki kabisa
 
M

MtamuMix

Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
89
Points
125
M

MtamuMix

Member
Joined Feb 10, 2018
89 125
Kwa nn mkuu
Unaponunua gari lazima ujiulize unahitaji gari gani, kwa ajili ya matumizi gani, na mara nyingi matumizi ndo yanaamua gari gani inahitajika. Jambo lingine ni kipato/uchumi. Sioni mantiki kuwa na gari ya cc 2500 wakati matumizi yangu ni kutoka home, kwenda kazini, town na kanisani. kumbuka watz wengi magari haya ya kutembelea hayaleti hela bali yanatumia tuu sasa why nijitese. kuna rafiki yangu majuzi kanunua kluger kwa misifa baada ya kuuza spacio. Sasa hivi muda mwingi amepaki tuu maana wese lake usipime. Gari inayozidi cc 2000 uchumi wako uwe stable sana la sivyo utajikuta uko kwenye poverty cycle ya kuhudumia gari
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,743
Points
2,000
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,743 2,000
Ulaji wake wa mafuta kwa matoleo ya 2012 kuendelea ni chini ya RAV 4 usichanganywe n cc 2450
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,720
Points
2,000
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,720 2,000
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM
Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF
Tax calculator ni kama 6.5 million
Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD

Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?View attachment 1125603View attachment 1125604View attachment 1125605
Chukua ata ya 2010 mkuu hiyo hapo ishapitwa. Sema haya magari yana Cc za kutosha

Related image
 
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
7,839
Points
2,000
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2017
7,839 2,000
Tatizo hizi gari za Subaru huwa ni changamoto kwny Cc za engine.

Ulaji wa cc 3,000 kwenye Prado hauna tofauti na Cc 2500 za Subaru.

Naongea kutokana na Uzoefu
 
Forum statistics

Threads 1,303,752
Members 501,127
Posts 31,491,491
Top