RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,457
- 131,952
Harrier 2014 namba DX, DZ yaani D za mwishoni, hapo Mjini DSM zinaweza kupatikana kwa 30MlKila MTU duniani anajua Hilo kuwa Toyota ndiyo gari zinazoaminika hakuna ubishi kwenye hili... wamiliki wa brand tofauti na Toyota tumetokea hukohuko kwenye Toyota.
Haiwezezekani wote tuendeshe Toyota Tu eti kwasababu ni imara
Bei zao hazina tofauti kubwa
Watu wengi hawajui kwanini used car fulani inaweza kuizidi used car fulani na isiwe kigezo kuwa hio gari ni bora zaidi. Mfano 2005 IST FOB inaweza kuwa juu kuliko 2005 Crown lakini haina maana IST ni gari ya maana kuliko Crown.Bei zao hazina tofauti kubwa
Haya mambo ya magari wengi wao ni usiku wa Giza Sisi wabongo kazi yetu kubwa ni ubishi tuWatu wengi hawajui kwanini used car fulani inaweza kuizidi used car fulani na isiwe kigezo kuwa hio gari ni bora zaidi. Mfano 2005 IST FOB inaweza kuwa juu kuliko 2005 Crown lakini haina maana IST ni gari ya maana kuliko Crown.