Subaru Forester ina matatizo gani?

Two years later nilinunua na Mimi, for sure Subaru ni gari... Sijajuta and I won't... Hata Nije Kua na gari la sh ngapi still nitakua na Subaru pembeni for fun.... I love my forester... Built to last.
 
Gari inaweza kuwa mbaya au nzuri kutokana na matumizi yako na uelewa wako kuhusu Magari...... watu wengi tunanunua magari kwa kuwa fulani kanunua au kwa kuwa ndio iko kwenye fashion au kwakuwa balance yako inakulimit any one saying Rav 4 is better than Subaru hajui anachoongea uzuri wa gari na ubora wa gari haupimwi kwa bei. Operating conditions is one of the factors that can affect durability hence life span ya any machine not on cars. Watanzania we never consider technical factos tunaongozwa na hisia then tunalaumu magari kumbe wewe ndio uliachuagua kitu ambacho sio size yako.
 
Ukilinunua tengeneza na kibanda cha makumbusho maana haliuziki
Sio kweli...pia spare zinapatikana tu nina mwaka wa 5 natumia subaru forester ya mwaka2004 cross sport manual, spare zake ni ghali kidogo lakini ukibadilisha utasahau kwa sababu fake zake hazipo sana unapata OG. Ulaji wa mafuta sio kivile sana kama tunavyotishana humu very stable barabarani ...Nunua zako subaru wala usiogope
 
Kwa mahitaji ya spare za Subaru kwa bei nzuri nitafute
 
Subaru ni gari nzuri sana hasa kama wewe ni mtu unayependa mashindano barabarani kwa maana huwa inakimbia sana maana hata speed 120 kwenye kona wala haina shida, pia spea zake ni durable maana zote ni ORG hakuna feki ila
1. Spea utazifuata NAIROBI
2. Usicheze mbali na PETROL STATION.
 
Wala haina haja ya kuzifuata Nairobi saiv spare zipo org kabisaaa dar na arusha sio kwingine bali duka la Subaru genuine parts.
 
Nimegundua watanzania wengi ni watu wa Mkumbo... Eti jamaa anasema Rav 4 is better than Subaru!!! Ha ha ha haaa... Real??? Umewahi kuendesha Subaru hata 100km tu??? Acheni kudharau kazi za watu jamani.. Doh.. Subaru na Rav 4??? Dah, imeniuma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…