Kwa sasa natumia Suzuki Grand, ni gari imara sana sana na inapita popote. Ila inakula sana mafuta maana ni 24 valve, 70% ya matumizi yangu ni kwenye rough roads na hata mbugani zapita bila shida ikitumia 4wd.Ina range between 16-18m mkuu,fuel consumption iko moderate,spare zinapatikana
kuhusu ugumu utaichoka mwenyewe...inshort it is a good carView attachment 90965
suzuki???what a nice car,kwanza ngumu,spare ziko available,mafuta inafanya kunyonya kdg tu
AERIO,SWIFT AU HATA KID
I am driving 2005 Subaru Forester it is the best compared to Rav4... ina 177hp wakati Rav4 haizidi hata 160hp. Ina balanced 4WD sehemu ambayo gari nyingine yoyote inaweza tereza kwenye matope Subaru inapita inaweza sense tairi ipi inatereza na kuhamishia power kwenye tairi nyingine. In addition it is a boxer engine means ni very stable car huewezi compare kabisa na Rav4.Hiv unaijua Rav4 kweli mkuu.
U cant b serious here
Yeah uko sahihi kabisa mkuu! Hizi ngoma zimekaa poa sana...yan unajiona unaendesha gari.I am driving 2005 Subaru Forester it is the best compared to Rav4... ina 177hp wakati Rav4 haizidi hata 160hp. Ina balanced 4WD sehemu ambayo gari nyingine yoyote inaweza tereza kwenye matope Subaru inapita inaweza sense tairi ipi inatereza na kuhamishia power kwenye tairi nyingine. In addition it is a boxer engine means ni very stable car huewezi compare kabisa na Rav4.
Uchukue ya 2008 ila is somehow expensiveWakuu vipi kuhusu IMPREZA?
Uchukue ya 2008 ila is somehow expensive
Kigari sikipendi sijui kimekaaje? Hata bure sitaki.
I am driving 2005 Subaru Forester it is the best compared to Rav4... ina 177hp wakati Rav4 haizidi hata 160hp. Ina balanced 4WD sehemu ambayo gari nyingine yoyote inaweza tereza kwenye matope Subaru inapita inaweza sense tairi ipi inatereza na kuhamishia power kwenye tairi nyingine. In addition it is a boxer engine means ni very stable car huewezi compare kabisa na Rav4.
Ooooh!Really??Kigari sikipendi sijui kimekaaje? Hata bure sitaki.
Hiyo KID sio daihatsu kweli?suzuki???what a nice car,kwanza ngumu,spare ziko available,mafuta inafanya kunyonya kdg tu
AERIO,SWIFT AU HATA KID
Asante kwa ushuudaSubaru Forester ni Gari nzuri sanaa nimeitumia kwa Muda mrefu sasa na sijaona tatizo lake lolote. Durable, powerfull, Spacious. Spare parts zinapatikana na bei ni kawaida tuu sio kama watu wanavyosema. Consumption ni kawaida kama magari mengine.
Unajua mafuta kwa waarabu bei ganiMkuu jitose tu! Maisha yenyewe mafupi haya, raha jipe mwenyewe... Ukitaka Durable car basi agiza 0-mileage Subaru Forester.... Unafikiri kwanini waarabu wanapenda sana hayo magari? The main reason ni uniqueness, siyo lazima wote tuendeshe Toyota Brands... Go mkuu, Go!!