Approximately inatembea km 14-15 kwa lita. Kwa hiyo mafuta ya 10000 yanatosha. Sema inapotokea bei za mafuta zimepanda ndiyo huwa ni shida kidogo.Mkuu kwa distance ya Mbagala tu ubungo kwenda na kurud about 60km!!!!!!!!!!!!
watu ni waoga sana eti...oooh mara hamna spare...ohhh sijui inakula mafuta...oooh....sijui...nini na nini gari ni kujipanga tu..mim nampango nivute Landrover LR3 inakunywa mafuta si mchezo...4.0 petrol...2.7 Diesel lakini atleat hiyo ya 4.0 kama unapenda kitu gharamia tu...kwani shgapi....suzuki???what a nice car,kwanza ngumu,spare ziko available,mafuta inafanya kunyonya kdg tu
AERIO,SWIFT AU HATA KID
Mkuu gari zuri sana hilo na kwa mwendo ni kiboko, maatatizo yake ni spres zake expensiveNataka kununua gari ya Subaru Forester. Naomba mtu mwenye uzoefu na hiyo gari aniambie mazuri na mabaya yake.
Kaka kama unapesa za mawazo ikimbie mbali hiyo gari jichukulie Toyota. Kwanza kama ukinunua jua ni yako hiyo hadi inakufia. Mbili kuna rafiki yangu inayo auto imeng'ang'ania gia no. 3 na mbaya zaidi yupo mkoani mafundi wote huko wamechemsha kampata mmoja hapa Dar ratiba yake mpaka March na awe na 3 M cash hapo bila spare. Now anafugia kuku tu. huo ni ushauri wangu.

NAMBIE NATAKA KUNUNUA HII GARI SUZUKI YA 2004 NINAWEZA IPATA KWA BEI GANI ,CONSUPTION YA FUEL ,NAWEZA IUZA NIKIICHOKA,SPEA ZAKE ZIKOJE NA MATATIZO YAKE YAKO WAPI UTANISAIDIA SANA NDUGU MAANA NATAKA NIICHUKUEsuzuki???what a nice car,kwanza ngumu,spare ziko available,mafuta inafanya kunyonya kdg tu
AERIO,SWIFT AU HATA KID
Nipe jina lake nimeshindwa kufungua picha,natumia simu tekno(mchina)NAMBIE NATAKA KUNUNUA HII GARI SUZUKI YA 2004 NINAWEZA IPATA KWA BEI GANI ,CONSUPTION YA FUEL ,NAWEZA IUZA NIKIICHOKA,SPEA ZAKE ZIKOJE NA MATATIZO YAKE YAKO WAPI UTANISAIDIA SANA NDUGU MAANA NATAKA NIICHUKUE
IKO HIVI
suzuki grand vitara 2004 v4nipe jina lake nimeshindwa kufungua picha,natumia simu tekno(mchina)
thanks alot bei yake inarange ngapi.kwa sasa???ina range between 16-18m mkuu,fuel consumption iko moderate,spare zinapatikana
kuhusu ugumu utaichoka mwenyewe...inshort it is a good carView attachment 90965
thanks alot bei yake inarange ngapi.kwa sasa???
Ina range between 16-18m mkuu,fuel consumption iko moderate,spare zinapatikana
kuhusu ugumu utaichoka mwenyewe...inshort it is a good carView attachment 90965