philipo mduma
Senior Member
- Aug 24, 2016
- 104
- 54
Ni baada ya kunyakua kiatu cha dhahabu kwa mara ya 3⃣
Suarez fundi bila hata MessiYupo na fundi wa baro ndoo basi lazima nae awe fundi tu
Zumbemkuu wewe ni shabiki wa man city nini? Messi amekuwa mwiba kwenuSuarez fundi bila hata Messi
Liverpool mkuu, sijawahi kuwapenda hao MANSHITIZumbemkuu wewe ni shabiki wa man city nini? Messi amekuwa mwiba kwenu
Hahaha ndo mana unamkubali suarezLiverpool mkuu, sijawahi kuwapenda hao MANSHITI