Hahhaahaha umenifurahisha usiku huu... ati thaminisha...lol
ntakujali ila zawadi sijawah fikiria ila ukinipa sikatai ila pia usiniendekeze kunipanipa zawadi ishi na mimi kigumu nikuelewe ila kunipetipeti muhimu
sasa hayo ni mapenzi ya KIHIP HOP hakuna kubembelezana

labda ndio ninayoyapenda utajuaje
Sasa my unakuta ninastress zangu nahitaji hela then mtu anakuja na box hilooo, yaani napokea huku moyoni maneno yananitoka ila mdomoni hayaonekani.
hahaaaaa kumbe huwa unaongea moyoni kama mimi duuu hii tabia sijui itaisha lini
Truthful speaking women expect more from men and give less I always wonder why?SMH
mkuu nikipeleka kama maua kama wanavyofanya wenzetu wa magharibi madada wa hapa si wataniona poyoyo,ila kwa kifupi sijajua caring ya madada zetu ni ipi unaweza ukafanya kila kitu kwake lakini ukaonekana mdebwedo
Sasa my unakuta ninastress zangu nahitaji hela then mtu anakuja na box hilooo, yaani napokea huku moyoni maneno yananitoka ila mdomoni hayaonekani.
Una stress una dhiki? dhiki haimalizwi kwa kuhongwa...Chukua hiyo!
Badala ya ku-concetrate kwenye mambo ya muhimu, eti nawaza nimpelekee Heaven Sent zawadi gani.
si kweli wadada tunajari bwana. kwangu mm napenda zawadi coz natoa zawadi.
labda sijapenda? hera unayo nipa kama laki 3 umenipa ujue laki nakupa zawad ukweli mm napenda nguo zaidi.
nikipenda kweli nimependa maana zawad nitatuma had kwa mama mkwe nisiemjua.
Badala ya ku-concetrate kwenye mambo ya muhimu, eti nawaza nimpelekee Heaven Sent zawadi gani.
we wacha we acha choyo