Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,018
- 7,766
Kila siku zinavyokwenda hili suala kama linafifia..Bila ya shaka halikuwa kama lilivyokuwa likikomaliwa na wakubwa..Ilikuwa kama ni kiki tu ya kutaka kuonekana awamu iliyopita ilikuwa kimeo.
Ukweli umejulikana kwani kwa figure za mabilioni yaliyokuwa yakitamkwa na Muheshimiwa na ukali wake bila ya shaka wahusika wangekuwa wahanga wa kwanza wa MAHAKAMA YA MAFISADI..
Nilichojifunza ni kwamba awamu hii inafanya kazi kwa matukio yaani kila baada ya muda wanatafuta UBUYU wanarusha watu wanabwia na kusahau ya zamani..
NB: Serikali iweke hadharani majina ya waliokuwa wakitafuna mishahara ya watumishi hewa na wafikishwe mahakamani ili isionekane ni awamu ya ubabaishaji