Mi nashangaa watanzania hasa wapenda soka la bongo (simba na yanga) hatujui siasa la soka letu, suala la okwi limeisha iwe simba wameingia chaka au yanga, ni kwamba, Yanga hapa wamekosea ila wataambiwa walipe adhabu na Okwi atakosa mechi za ligi kama 3 hivi, kama kwa Ngassa tu, biashara itakuwa imeisha hapo. Tujue siasa ya soka letu jamani. Njooni MBEYA CITY hakuna Wasomali wala Wahindi sijui