toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Nimesikia habari ya nzige nimeogopa sana aisee.
Hii issue watu wanaibeba kama utani sana hawa wadudu ni hatari sana wanaweza wakasambaa nchi nzima ikawa ni balaa.
Na ukizingatia huu ndo msimu wa kuanza kulima kwa mikoa mingi mazao yataliwa yote matokeo yake kutakua hakuna mavuno na kupelekea njaa na mfumuko wa bei.
Refer baa la njaa la Kenya; angalieni hali ya Somalia, sitaki tufike huko. Badala yake tuchukue hatua stahiki za kuwadhibiti hawa wadudu.
Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app