DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Wakuu hii haijakaa sawa kabisa.
Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao .
We are not serious.
Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao .
We are not serious.
Jikite katika hojaUnauza nini?
Mtandao gani mkuu maana mie facebook haifanyi kazi leoWakuu hii haijakaa sawa kabisa.
Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao .
We are not serious.
Then wanataka uchumi ukueHii ni ishara ya kwamba kama nchi hakuna alie salama. Kupitia hili la mitandao kila mtu kafikiwa..
Mimi huwa natumia Facebook na huwa naongea na client wangu kuanzia saamoja jioni Ila mtandao umezimwa so sadMtandao gani mkuu maana mie facebook haifanyi kazi leo
Sasa atumie vpn mteja je? Hajaongelea upande wake tu wateja wengi hawajui vpnTUMIA tuu vpn
Sasa atumie vpn mteja je? Hajaongelea upande wake tu wateja wengi hawajui vpn
ccm ni laanaWakuu hii haijakaa sawa kabisa.
Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao .
We are not serious.
Kwamba mnaongea kila siku kwa mwaka mzima?Mimi huwa natumia Facebook na huwa naongea na client wangu kuanzia saamoja jioni Ila mtandao umezimwa so sad