Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

sasa mbona amefungiwa
 
Na wasipofanikiwa kushinda!!! Tujueje?
 
Ndio nimeisoma
NAomba nijibu vizuri usipanic kwanini kichuya amefungiwa
Au ameonewa?
Iko hivi, pamoja na Fifa kutoa kibali cha kuchukua kuichezea Simba bado alikuwa na pending kesi na timu yake iliyomnunua kutoka Tanzania!

Maana inavyoonekana yeye alitoka huko alikokuwa kwa mkopo baada ya kushindwa na kuamua kuvunja Mkataba wake kinyemela bila ya Mwajiri wake kumpa ridhaa ya kuondoka!

Hivyo basi alisajiliwa Simba huku timu ya Pharco ikiwa haijaruhusu aondoke rasmi!

Ndio maana nikamlizia kwa kusema Chama cha Soka Misri kilitupiga lkn mbaya zaidi kuna viongozi Simba hawakutimiza wajibu wao! Walikurupuka
 
Ndio nimeisoma
NAomba nijibu vizuri usipanic kwanini kichuya amefungiwa
Au ameonewa?
Iko hivi, pamoja na Fifa kutoa kibali cha kuchukua kuichezea Simba bado alikuwa na pending kesi na timu yake iliyomnunua kutoka Tanzania!

Maana inavyoonekana yeye alitoka huko alikokuwa kwa mkopo baada ya kushindwa na kuamua kuvunja Mkataba wake kinyemela bila ya Mwajiri wake kumpa ridhaa ya kuondoka!

Hivyo basi alisajiliwa Simba huku timu ya Pharco ikiwa haijaruhusu aondoke rasmi!

Ndio maana nikamlizia kwa kusema Chama cha Soka Misri kilitupiga lkn mbaya zaidi kuna viongozi Simba hawakutimiza wajibu wao! Walikutu
Mtajua tu jinsi mambo yanavyokwenda day to day,so tulia

Sent from Nokia 7 Plus
Tutajua mambo yanayokwenda day to day wakati hadi sasa ni miezi hatujui yanavyoenda!

Au hiyo day to day ina maana tofauti kwa wengine?
 
Haya, je, namungo inaweza kupokonywa points walizomchezesha Kichuya kama club zitadai?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…