Born Star
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 365
- 256
sasa mbona amefungiwaKuna watu mpira wanaipenda lakini wao hauwapendi, ni pamoja na mleta mada!!!
Ulitaka TFF wafanye nini wakati vibali vya kuitumikia Simba kutoka Misri na FIFA vilitolewa?
Kama unaweza kuwa na kumbukumbu Konde boy na Kichuya walichelewa sana kuanza kuitumikia Simba hizi ni kwasababu vibali vya FIFA vilikuwa bado!
Lakini baadaye vilipatikana na Cha Kichuya kilikuwa Provisional