Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,714
2,000
Nilikuwa namjibu huyo anayewalaumu TFF maana kwa hapo hawahusiki! Wao walifanyia kazi vibali kutoka Misri na kile cha Provisional KUTOKA FIFA.

Khs kwanini Simba wamelimwa mia 3, ni kutokana na taratibu za usajili imeonekana Kichuya ni kama alitoroka kwa Mwajiri wake hakupewa mkono wa kwaheri kabla ya kurudi Simba!

Inamaana hapa kuna uzembe kwa viongozi wa Simba walifanya na Kichuya naye alikosa proffesionalism lbd hana msimamizi makini!

Mwisho kabisa shirikisho la Misri nalo lilituingiza kibra.

Ila yote kwa yote uongozi wa Simba wanatakiwa wajitathimini kwa hili!
Tatizo FIFA wanajifanya jeuri sana. Inamaana hawamuogopi Karia? Ngoja na yeye awape adhabu kali kwa kuwapiga fine mbeleko fc
 
Mazaya

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
701
1,000
Haya, je, namungo inaweza kupokonywa points walizomchezesha Kichuya kama club zitadai?
Hapo sidhani maana siyo kosa lao,

Isitoshe Kichuya alikuwa na kibali cha kutumika nchini cha Muda ndio maana hata FIFA hawajatoa adhabu tofauti na Faini ya pesa!!!
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Hapo sidhani maana siyo kosa lao,

Isitoshe Kichuya alikuwa na kibali cha kutumika nchini cha Muda ndio maana hata FIFA hawajatoa adhabu tofauti na Faini ya pesa!!!
Kama kichuya alikuwa na kibali cha muda kutoka fifa sasa Simba inaadhibiwa kwa kosa gani
 
masonya

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
913
1,000
Nilikuwa namjibu huyo anayewalaumu TFF maana kwa hapo hawahusiki! Wao walifanyia kazi vibali kutoka Misri na kile cha Provisional KUTOKA FIFA.

Khs kwanini Simba wamelimwa mia 3, ni kutokana na taratibu za usajili imeonekana Kichuya ni kama alitoroka kwa Mwajiri wake hakupewa mkono wa kwaheri kabla ya kurudi Simba!

Inamaana hapa kuna uzembe kwa viongozi wa Simba walifanya na Kichuya naye alikosa proffesionalism lbd hana msimamizi makini!

Mwisho kabisa shirikisho la Misri nalo lilituingiza kibra.

Ila yote kwa yote uongozi wa Simba wanatakiwa wajitathimini kwa hili!
Ina maana fomu kutoka shirikisho la misri hakuna sehemu au viambatanisho vya klabu aliyotokea?
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Walisikia Yanga wanamtaka.... Ukitaka Simba wamsajiri mchezaji au Wamwongezee Mkataba mchezaji ambaye hata hakua kwenye mpango wa Kocha....
Waambie Yanga wanamtaka Huyo Mchezaji.....!
Kweli walifanya hivyo kwa akina ndemla ingawa hawamtaki kwenye plan zao
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,729
2,000
Siku za hivi karibuni Simba fc aka Mnyero fc anatembelea nyota ya Young African Sc kwenye usajili wake. Refer: Adam Salamba, Charles Ilamfya, Gadiel, Konde boy, Bwalya, Morrison, hata kwa Kagere ilikuwa the same etc. Wakisikia Young African Sc Wana mazungumzo kuhusu usajili wa mchezaji Fulani, wao mbio wanamsajili fasta. Ila kwa Bwalya, Ilamfya, Salamba na Morrrison wameukwaa. Hata Kichuya wakati anatejea kutoka Misiri Young wakiwa ktk harakati za kumsainisha, Mikia faster wakaingilia dili lake, Sasa Ina kilichwapata, wamepigwa faini na inawezekana wskapigwa ban ya kusajili. Mikia fc acheni kukurupukia na kuingalia sajili kisa mna fedha ya Mhindi, mwishowe naye atawachoka na kuwatosa kabisa. Sajilini kwa nafasi zenye mapungufu na kwa kufanya scouting wenyewe na siyo kutembelea scouting za wenzenu.
 
Jjmwaipopo

Senior Member
Jan 11, 2020
178
250
Nasikia Mo kaanza kutembeza bakuli maana Mikia/Bodaboda hawana hela mikua wamelowa bado kwa Morrison lazima mjifunze kanuni yupo pale makofia anaiharibu sana simba nadhani akiweka b20 tutakata huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom