titomganwa
Senior Member
- Oct 12, 2010
- 126
- 62
Watanzania tulio wengi ni shida!
Hili suala la escrow nionavyo mimi ni jambo rahisi sana. Fedha za escrow haziwezi kuwa ni za umma kama tunavyosadikishwa kwa nguvu kubwa. Kuna upotoshaji wa wazi tena ni wa makusudi. Inamaana umeme Haukuzalishwa? TaNesco walikuwa wanalipa against what? Walikurupuka tu na kuziweka fedha kwenye account ya escrow bila sababu?
Kuhusu kodi, kodi si mamlaka husika zilisamehe? Ni kodi ngapi zina samehewa na hatuhoji?
Kafulila si muungwana. Hili nimeliamini katika sakata hili la fedha ya escrow. Muda wote akipewa nafasi anauambia umma kuwa tumeibiwa bil 306. Wakati PAC imetuambia ni arround bil 21. Hii imethibitika kuwa ni uongo wa wazi. Na kafulila anatafuta ushindi wala hajali ukweli
Ingawa sijawahi kuwa na chama, siwashauri tuweke akili zetu mifukoni na tukawaruhusu wapotoshaji wafikirie kwa niaba yetu. Haijalishi kama wazungumzaji nibakina lisu, kunjombe au kafulila. Kama hawasemi ukweli tuwapuuze.
Inasikitisha kuona suala la msingi kama hili linageuzwa kuwa kioja cha ubishani.
Nashauri wataalam wa TRA, Takukuru, polisi na mahakama watusaidie kufumbua hili. Wabunge wameshindwa.