Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,309
- 1,150
Hakika wewe ni mmoja wao!Kafulila katika hili si mkweli. Binafsi imeniuma kuona kuna watu wanatafutavushindi wala si ukweli. Katika hili mimi sioni mantiki. Ushaniki ni kitu kibaya sana hususan kwa mambo yanayoweza kuhatarisha amani ya taifa.
Kafulila, tuhurumieni wenzenu huku. Zungumzeni ukweli toka nafsini mwenu.