Suala la Bunge Live: Nape ni mwongo

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Katika serikali ya Magufuli Kama Kuna Waziri ambaye Rais mwenye heshima zake hawezi Kumweka Kwenye Baraza lake, Labda tu kwa sababu chafu za siasa. Waziri huyo sio Mwingine Ni Nape Nnauye.

Kama ni Mwongo Nape ni Yule Mwongo ambaye amevuka na hawezi hata yeye Mwenyewe kutofautisha anaposema ukweli au uwongo.

Niambieni, Rais Anaimba Kila Siku anawezaje Kuwa Na Waziri Mwongo Kinomanoma namna hii na wala asione aibu! What an irony!


Kama Ukweli Ni Gharama Mbona Hawa Hamwakubalii?

Uwongo wa ajabu sana wa Nape huu hapa,
Anaonge na Wananchi Kama anawaongelesha Chekechea!
Blah blah blah za Nape

 
Safari hii waziri mzigo yupo mmoja tu
Waziri ni nani? Mahiga? Kazi kweli kweli baraza la sasa limepwaya sana! Wamerudi nyuma wanasubiri kustuliwa ndio wanaamka! Wamekatazwa kutumbua watendaji bila kufuata sheria! Wamejiona hawana la kufanya sasa maana walianza mtindi mbovu kufukuza wataalam kwa siasa! Wa kwanza PM! Akaja Makamba Kigwa na wengine!
 
Back
Top Bottom