Suala la ajira za walimu ngazi ya cheti

Suala la ajira za walimu ngazi ya cheti

mr chamteo

Member
Joined
Jan 9, 2017
Posts
30
Reaction score
17
Habar zenu wanajamvi?, ninandugu yangu ambaye kamaliza ualimu ngazi ya cheti hadi hao wazee wamajuu hawasomeki mara wanahitakika wale wa sayansi na hisabati ambaye wana shahada, sasa hawa wenye certificate mbona hawajadiliw? Na huyo NDALICHAKO mbona hawa madogo hawatumbui kama wale wa Sanaa? Nakaribisha maoni yenu wakuu
 
Aisee,,
Mwambie aliyekuandikia, Mungu anamuona
 
Haina haja ya kuwaongelea sana maana shule bado zina uhaba sana wa walimu kumbuka walisema "wasiotuma vyeti hawatafikiria wakati wa uajiri" maana yake muda wa kutoa ajira bado ukifika watatoa kwa wote
 
Habar zenu wanajamvi?, ninandugu yangu ambaye kamaliza ualimu ngazi ya cheti hadi hao wazee wamajuu hawasomeki mara wanahitakika wale wa sayansi na hisabati ambaye wana shahada, sasa hawa wenye certificate mbona hawajadiliw? Na huyo NDALICHAKO mbona hawa madogo hawatumbui kama wale wa Sanaa? Nakaribisha maoni yenu wakuu
Asubiri ajira mwezi wa 3. Lazma waajiriwe.
 
Back
Top Bottom