Suala la ACACIA, Magufuli anataka Tanzania iwe mshiriki na si mtazamaji

Naam, kweli maoni yake ni makali lakini kuna vijana wengine unashindwa hata kujua akili zao zinawaza nini kazi yao ni kuchafua mijadala.
Adhabu si kusema maneno ya kuashiria shari wengine ni wepesi wa kuyatendea kazi. Hujui Rwanda mauaji yale ya kimbari yalianzia kwa wauaji kuwaita wenzao "mende"?
 
Wanajua dhahiri katika kupigana vita hii serikali ina siri na ushahidi mwingi wa hayo. Ieleweke tu tabia ya makampuni makubwa kukwepa kodi si mpya inafanyika kwa ujanja wa kupindisha mahesabu ''manipulation and transfer pricing''. Siku zote hukuonyesha kuwa wanachopata ni kidogo mno hivyo wanahitaji huruma zaidi kuendesha shughuli zao.

Si rahisi Acacia wakakiri hadharani tena mapema kwamba wamekosea, wanajaribu mbinu nyingi tu kushawishi serikali chini kwa chini. Hata kujiuzulu kwa Mwapachu kumechangiwa na yeye kutokuwa na ushawishi katika Utawala huu wa Magufuli
Ushahidi tunao wa dhati kwamba wamekuwa wakikwepa kodi? Kama serikali inao, ni kwa nini imeacha wananchi waendelee kibiwa kwa miaka yote hiyo?

Pili: Si tulishaambiwa kuwa jamaa wamekubali kuwa wamekuwa wakituibia na wako tayari kulipa? Kwa nini sasa unasema kuwa "si rahisi kwao kukiri hadharani na mapema..."? Ina maana hicho walichokubali ni kipi hasa?
 
Wee kweli uwezo wako ni levo ya bavicha, hata kukopi nilichoandika umeshindwa? Yaani umekolezea na rangi ila wapi!!
Hii ni ishara kuwa umekimbia mji.
Lazima mtaolewa tu safari hii maana utawala huu wa ngosha hautoi buku 7 kama mlivyozoeshwa na mkwere

In God we trust
 
Back
Top Bottom