Suala la ACACIA, Magufuli anataka Tanzania iwe mshiriki na si mtazamaji

Hili ndiyo deni halisi ama ni kianzishia majadiliano?
Siku Zote TRA wanatumia data zilizopo kwenye Vitabu Vyako Kukadiria amount ambazo ulipashwa kulipa TRA pamoja na Kodi na Kila Kitu.. Mfano Ukiwa Mfanya Biashara na ukawa mlipaji mzuri wa Mishahara kwa Wafanyakazi vizru tu. TRA wanaweza kutumia Malipo ya Pension (NSSF /PPF) au SDL kujua Gross emolumonet yako ambayo hiyo ndiyo itakayokuja kujua hali halisi ya ya Malipo uliyopashwa kulipa kama Kodi kwa Selikari.

Kwa Hiyo kwa hili la Acacia . Sisi being Serikali tumeshaweka Mezani our hisabati kwa hiyo ni Jukumu la Acacia kuja kupangua hoja na hisabati zetu. Kwa hiyo Hiyo 425 siyo hitimisho ila Acacia wasipokuja na hoja zenye mshiko za kushusha hayo makadirio watalipa tu.

Kwa hiyo kinachofanyia na Acacia ni kwa kuwa ni Shirika ambalo linajulikana kimataifa lakini hii hufanyika sana hata kwenye Makampuni ya Ndani na Hili Likishaletwa TRA Officials ndipo walipokuwa wanapigia hela sana za kuhongongwa ili kupunguzo hilo kadirio.

Wafanyabiashara watanielewa tu..... Ila kwa wengine ambao hawajawahi kuwa Subjected na TRA hawawezi kunielewa Mkuu.
 
Ufafanuzi mzuri sana, nashukuru kwa kuulisha ubongo wangu.
 
Hadi hapo unaonekana ni kibaraka wa Acacia.
kwa nini hamtaki kuweka ukweli hadharani kila tunachouliza mnatuita vibaraka wa acacia hivi hizo $190 billion mlikokotoa vipi mpaka mkajua ndio deni tunaowadai wezi wetu
 
Siku Zote TRA wanatumia data zilizopo kwenye Vitabu Vyako Kukadiria amount ambazo ulipashwa kulipa TRA pamoja na Kodi na Kila Kitu.. Mfano Ukiwa Mfanya Biashara na ukawa mlipaji mzuri wa Mishahara kwa Wafanyakazi vizru tu. TRA wanaweza kutumia Malipo ya Pension (NSSF /PPF) au SDL kujua Gross emolumonet yako ambayo hiyo ndiyo itakayokuja kujua hali halisi ya ya Malipo uliyopashwa kulipa kama Kodi kwa Selikari.

Kwa Hiyo kwa hili la Acacia . Sisi being Serikali tumeshaweka Mezani our hisabati kwa hiyo ni Jukumu la Acacia kuja kupangua hoja na hisabati zetu. Kwa hiyo Hiyo 425 siyo hitimisho ila Acacia wasipokuja na hoja zenye mshiko za kushusha hayo makadirio watalipa tu.

Kwa hiyo kinachofanyia na Acacia ni kwa kuwa ni Shirika ambalo linajulikana kimataifa lakini hii hufanyika sana hata kwenye Makampuni ya Ndani na Hili Likishaletwa TRA Officials ndipo walipokuwa wanapigia hela sana za kuhongongwa ili kupunguzo hilo kadirio.

Wafanyabiashara watanielewa tu..... Ila kwa wengine ambao hawajawahi kuwa Subjected na TRA hawawezi kunielewa Mkuu.
Second greater thinker,,, safi sana avatar inaakisi kilichomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza lazima niseme tu si kweli kuwa mtu akiongea kiingereza/kizungu basi anaongea ukweli la hasha. Kilichofanyika ni kututeka kiakili tuamini kuwa kuongea kiingereza ni ustaarabu,ukweli,akili, heshima nk. huu ndio uchawi mkubwa.

Ninataka niseme katika miaka takribani 20 ya Acacia si kwamba kila walilolifanya ni jema kwa Tanzania, la hasha wamekiuka sheria nyingi sana zikiwemo za kodi na haki za binadamu. Wanajua dhahiri katika kupigana vita hii serikali ina siri na ushahidi mwingi wa hayo. Ieleweke tu tabia ya makampuni makubwa kukwepa kodi si mpya inafanyika kwa ujanja wa kupindisha mahesabu ''manipulation and transfer pricing''. Siku zote hukuonyesha kuwa wanachopata ni kidogo mno hivyo wanahitaji huruma zaidi kuendesha shughuli zao.

Nao wanahofu kubwa sana kwani hawana uhakika kule kwenye makontena kuna nini? haswa wale wamiliki (shareholders), yawezekana mameneja wanaujua mchezo ila wawekezaji/wenye hisa hawajui mbinu zinazotumika kupata faida kubwa zikiwemo rushwa,kuficha uzalishaji halisi nk. Wana hofu kubwa kwani hayo yakiwekwa wazi utakuwa mwisho mbaya kama ilivyoyakuta makampuni makubwa ya kimataifa kwa makosa ya ukwepaji kodi.

Si rahisi Acacia wakakiri hadharani tena mapema kwamba wamekosea, wanajaribu mbinu nyingi tu kushawishi serikali chini kwa chini. Hata kujiuzulu kwa Mwapachu kumechangiwa na yeye kutokuwa na ushawishi katika Utawala huu wa Magufuli

Naam, katika meza ya makubaliano hata kama tusipolipwa chote lakini tutapata kiasi fulani ambacho kitatusaidia na wao watatia adabu hawatafanya tena udanganyifu.

Magufuli ameamua sisi watanzania tusiwe watazamaji kwenye meza ya chakula bali tuwe washiriki kula chakula hicho.

Kuna dhana kwamba ACACIA wameiba. Swali la msingi ni, how and based on what evidence?

1. Kama ni kwa ku-underdeclare quantity, hizo container zinapaswa kuchunguzwa na neutral party. Hawamapofesa wetu wanatuabisha na ripoti yao haina nguvi kwenye arbitration. Kampuni ya gold ikichimba gold na kukuta chembe za tin kwenye mchanga, hauwezi tena ukawadai kwa value ya hiyo tin. Kama its not economically viable ku-extract hiyo tin lakini ipo kwenye contents za mchanga, utawadai vipi kwa msingi upi sasa? Si tumewapa kibali cha kuchimba gold au? Hata kama kuna discrepancies, basi ziwe number za kueleweka. Mtu mwenye daladala moja huwerzi kusema anaingiza hela za dala dala kumi. Turn over ya ACACIA ni $1 bill. Unataka kuniambia wameficha $6 bill bila shaka kuwepo kwenye size of operations. Kwa hiyo shareholders hawashituka, industry experts hawajashituka etc. Hii ni listed company. Shareholders nao wanategemea audited reports kujua performance ya investment yao

2. Kama ni swala la percentage, mikataba iangaliwe. Huu sio wii per se. Ni mkataba mbaya na tumeshiriki kuuandaa
 
Second greater thinker,,, safi sana avatar inaakisi kilichomo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaobisha hawajui wanabisha nini... Tuwe Wa kweli kwa Wafanyabiashara Wizi upo... Nimeyaona na Nimeyashuhudia. Kwa hiyo Hao Acacia hata kama walikuwa wanakuwa Audited na Sijui PriceHouse Cooper haiwafanyi wao kuwa hisabati zao ziko sahihi...

Nashangaa Members wanaokuwa na kauli za Jazba.. Kama Ni Mfanyabiashara Yeyote akinikabidhi hisabati zake za Malipo ya Vabarua na Mishahara kwa Wafanyakazi ukaniruhusu nikuangalia Bank Statement za Account Zako .. Huchomoki nitakushika tu..

Wafanya Biashara wengin ni Wezi kwa hiyo tuache kuleta fujo humu..

Wenye uelewa tunajua TRA walichokifanyia na Tuache kuzipa Malilege hizo Press Release za Acacia. Hisabati haipingwi kwa Press Release bali inapingwa kwa Hisabati.. Acacia should brimng thier auduted book of Accounts au watoe hata Balance Sheet za Hezabu zao kwa Miaka yote hiyo.,.Hawawezi kuruka hata siku Moja.
 
Kuna dhana kwamba ACACIA wameiba. Swali la msingi ni, how and based on what evidence?

1. Kama ni kwa ku-underdeclare quantity, hizo container zinapaswa kuchunguzwa na neutral party. Hawamapofesa wetu wanatuabisha na ripoti yao haina nguvi kwenye arbitration. Kampuni ya gold ikichimba gold na kukuta chembe za tin kwenye mchanga, hauwezi tena ukawadai kwa value ya hiyo tin. Kama its not economically viable ku-extract hiyo tin lakini ipo kwenye contents za mchanga, utawadai vipi kwa msingi upi sasa? Si tumewapa kibali cha kuchimba gold au? Hata kama kuna discrepancies, basi ziwe number za kueleweka. Mtu mwenye daladala moja huwerzi kusema anaingiza hela za dala dala kumi. Turn over ya ACACIA ni $1 bill. Unataka kuniambia wameficha $6 bill bila shaka kuwepo kwenye size of operations. Kwa hiyo shareholders hawashituka, industry experts hawajashituka etc. Hii ni listed company. Shareholders nao wanategemea audited reports kujua performance ya investment yao

2. Kama ni swala la percentage, mikataba iangaliwe. Huu sio wii per se. Ni mkataba mbaya na tumeshiriki kuuandaa
So sad, kwa sababu tu ni maprofesa waswahili/waafrika ndio kusema hawana ueledi? hii ni moja ya mambo mabaya kabisa yamejaa kwenye akili za waafrika wengi kuwa wazungu ni wakweli, wazungu ndi wako sahihi, wazungu ndio wana akili. Hapa ndipo tulipokwama, tunahitaji kubadilisha fikra zetu na jinsi tunavyofikiri. Mhhh aisee!
 
Mkuu Nashindwa kuelewa Usomi wetu unatusaidia nini? Kwa nini Tuamini kuwa Acacia wapo sahihi na Sisi tupo Wrong? Kwa nini Kuna Watanzania Humu wanataka Kutuaminisha kuwa Our Numbers are not Correct rather fabricated Numbers? Ina Maana hatujua thamani halisi huko kwao ya hayo Madini wanayoyatoa kwetu? Au tumekuwa limited na uelewa wetu kwa kuwa ya Weusi Wetu?

We are here to Challenge Acacia Book of Accounts... Kwa nini tuamini kuwa Hisabati zao ndiyo hitimisho ya thamani halisi ya Dhahabu yote na siyo Vinginevyo?

Hatuwezi kurusuhu akili zetu Kudadavua vitu vyetu kwa kutumia elimu zetu kuliko kwenda kuchukua hisabati kwenye mapress Release yao?

Why Can we not Own our Mathematics? Why are we challenging our Own Mathematics and numbers? Tumekiuwa wajinga na Mazuzu kiasi Hicho?

How do they paid us Mpaka kila siku tuwe negative to Tax Invoices Summoned by TRA to Acacia? Acacia ina wahasibu wangapi Watanzania?

Hiyo Auditing Firm yao ina Watanzania Wangapi Mpaka walipwe kuja kupinga kila kitu kinachohusiana na hizi Hisabati.

Guys I have been Finace Sections kwenye Makampuni tofauti na nimekuwa subjected na Auditing Firm Tofauti Tunajua tunachokuwa tunawapa hao wakaguzi ili wacompile Hivyo Vitabu vya Kimahesabu? Kwenye Management Reviwe Meeting tunajua wanachowashauri na sisi tunajua tunachokuwa tunakitaka Vitabu vyetu videtails.

Kwa hiyo Kama Haya Mambo siyo ya Upande wako wa Elimu usiwe Mwepesi wa Kupinga kwa kutuymia Press Release.

Ebu Jiulize kwa nini Acacia wamekuwa wakali kila kukicha kwa Hiki Kinachoendelea kama Kweli they are Clean.

What I can tell you ni Kwamba wanajiuliza Huyu Nyerere Mwingine ametoka Wapi? na Tutatokaje Kwenye hili as they know wamemess Mno na Wamekuwa Wakimess..
Let us tuwe wakweli
 
Tatizo wengi wanajadili suala hili baada ya kuangalia CNN,BBC nk,
 
Back
Top Bottom