We na huyo alyekuwa anakulalamikia,wote ni mazuzu tu..mbona kozi nzuri tu hiyo na inajulikana!
Akimaliza mwambie aje NM-AIST ARUSHA hao watu wanahitajika atasomeshwa zaidi huku akilipwa
Regards
jamaa wako hana lolote hiyo kozi haipo sua zaidi ya muhimbili