Nasikia kama umeng'ang'aniwa na probation/sup huwez sain booomdah yani Sua kero,wamesaini wachache na bado hawajapewa mkopo,
bahati yao hyo kaka sie ngoja tuvumilie mpaka watakapo toaUniversity of iringa
tusubili tu mpk wakotoa cjui JanuaryUD n constituents college zake wamepata ila wachache mkuu.
dah hatar na muda wa first quarter ndo unaish ivi.tusubili tu mpk wakotoa cjui January
Akiri mbovuSUA is among of best universities
Elimu kwanza boom baadaye sanaaa
Msichoke kuomba kila usiku na mchana.......thanks dear Gambe tulimaliza salama, pigeni gambe kama demu tafuta mboga saba, Fanya mishe mishe jombaaa zisake daily kesha MLTs haaaa....ukizipata tesaaa sanaaa kula nyama na bia gongeni cheers........
Gongeni cheers mchana na usiku kama watoto wa mafisadi.........
SUA+MZUMBE=UTAMU
Pata bumu unielewe ......
Saiv mtu wa kukukopesha hela, labda awe ndugu yakoIshu hapo ni kuwashtua washkaji zako wanaosoma vyuo vingine wakukope fedha za kutumia nyakati hizi unazosubiria la kwenu liteme.
Tulikua na msemo wetu kipindi hicho,
"Wakipata tumepata".
SUA is among of best universities
Elimu kwanza boom baadaye sanaaa
Msichoke kuomba kila usiku na mchana.......thanks dear Gambe tulimaliza salama, pigeni gambe kama demu tafuta mboga saba, Fanya mishe mishe jombaaa zisake daily kesha MLTs haaaa....ukizipata tesaaa sanaaa kula nyama na bia gongeni cheers........
Gongeni cheers mchana na usiku kama watoto wa mafisadi.........
SUA+MZUMBE=UTAMU
Pata bumu unielewe ......
Misister duuh tulikuwepo na tulishagraduate miaka hiyoooo miwili iliyopitaNasikia kama umeng'ang'aniwa na probation/sup huwez sain booom
Ila nadhan wanataka kutoa kwa mkupuo coz jana wametoa batch ya mwisho walio chaguliwa hapo mjengin
Nmejiuliza maswal meng xn kama ifuatavyo
1/Hao wagen watafanya screen test?
2/ kama matokeo ya probation yametoka jana, je kuna harufu ya kupata boom wiki ijayo kpnd wengine hawaja sain?
3. Kama hali n hvyo vp kuhusu kubemendwa kwa dada zetu hapo mjengon na wana funz wa masters?
Polen madogo na kaka na dada zetu
Mm nashukuru nme maliza salama japo nna degree ya mazimbu nahis wadau mnajua nkisema degree ya mazimbu
I mean ukishikwa na ww jiachie kweny prob kazen kibish. Tuonane november 25 kwny graduation. Sua wote wagumu haina mabishoo wala ma sister duuhView attachment 432774
Kabisa ilisaidia yaan ukisikia mzumbe wamepata basi SUA burudani ni kuwa tu na marafiki hapoIshu hapo ni kuwashtua washkaji zako wanaosoma vyuo vingine wakukope fedha za kutumia nyakati hizi unazosubiria la kwenu liteme.
Tulikua na msemo wetu kipindi hicho,
"Wakipata tumepata".
Usijute tulikuwa tunaitaga pasi ndefu au unatengeneza mid point usijute utamaliza tu mwanzo unachangamoto ila ukishazoea utajua utaishije na mahesabu yako utapangiliaDah Yan Hiki Chuo Ni Cha Kboya Kinyamaa:yaan Wadau Tunateseka Xana Na Njaa Na Dalili Za Kusain Ni F ,ni mwendo wa lampard tu coz NO LUNCH ,NO BREAKFAST ,najuta kuchaguliwa sua
Nasikia kama umeng'ang'aniwa na probation/sup huwez sain booom
Ila nadhan wanataka kutoa kwa mkupuo coz jana wametoa batch ya mwisho walio chaguliwa hapo mjengin
Nmejiuliza maswal meng xn kama ifuatavyo
1/Hao wagen watafanya screen test?
2/ kama matokeo ya probation yametoka jana, je kuna harufu ya kupata boom wiki ijayo kpnd wengine hawaja sain?
3. Kama hali n hvyo vp kuhusu kubemendwa kwa dada zetu hapo mjengon na wana funz wa masters?
Polen madogo na kaka na dada zetu
Mm nashukuru nme maliza salama japo nna degree ya mazimbu nahis wadau mnajua nkisema degree ya mazimbu
I mean ukishikwa na ww jiachie kweny prob kazen kibish. Tuonane november 25 kwny graduation. Sua wote wagumu haina mabishoo wala ma sister duuhView attachment 432774
hata serikal hatuna,ni ngumu kusaidikaSijui itakuaje mwez huu ukiisha bila boom, mana sua yenyewe n shida halafu huwe hauna boom. Itakuwa vzur kama uongozi wa sua ukikifanyia kazi suala hili.
imetoka batch ya 6,nashndwa kuelewa batch ya 4 na 5 mbona hazijaonekanaMajina yalio toka ni machache sana
Wengi bado tunashangaa, inakuaje watoe batch ya 6 bila ya kutoa 4&5..........!!!!imetoka batch ya 6,nashndwa kuelewa batch ya 4 na 5 mbona hazijaonekana