wilsonilanga
Member
- May 26, 2013
- 79
- 14
magufuli raisi wetu waangalie na watoto wetu sua maana tumechoka kuombwa pesa wakati walipewa mkopo lakini cha ajabu mpaka sasa wanadai hawajapata pesa yao ya kujikimu tangu wamefungua chuo ebu raisi wetu magufuli jaribu kuangalia na hilo maana imeshakuwa balaa kwa watoto wetu kwa swala la mkopo