Style za wanaume wa Dar kutongoza

Wewe ni ke au me? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni wanaume wa dar mko vizuri kwa kila kitu! Wanaume wa mikoani miporipori tu, hata siwaelewagi kwakweli![emoji57]
 
Hongereni wanaume wa dar mko vizuri kwa kila kitu! Wanaume wa mikoani miporipori tu, hata siwaelewagi kwakweli![emoji57]

are you serious? utamsahau uyo mke mwenzio unae share nae vipodoz na wigi.
 
hahahaha huu ni wivu uliopitiliza, mashamba yanawafanya mjione mpo ngangari?


pambaneni na hali zenu

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Wakiwaponda wanaume wa dar basi nyie mnajiona mnapeeendwa hela zote za mazao mnawatengea , wakija dar wanawaponda na kuendelea na machinjio yao lainiiiii.
Halafu jiulize je? Vijana wa dar wakija kijijini inakuwaje kijiji kizima kinaomba po!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Maisha ya kisenge ni kumfuatilia mwanaume mwenzako,

Kwani wanaume wa dar hayo yote wanayo Fanya hata wasipo fanya nyie wanaume wengine mnaojiita wa mkoa nafaidika na nini au mnapungukiwa na nini

Acheni kuishi maisha ya ajabu na maneno ya kuambiwa.

Binafsi nakula chips tena zile za KFC na vyakula vya supermarkets lakini bado nipo njema katika kutoa huduma kwa mwanamke tukiwa faraghani.

Hizo ni imani potofu kwa wanaume wa mkoa kuwa kula chips yai na chips kuku pamoja na kutoji shughulisha inatuathiri sisi wanaume wa dar, hizo ni fikra mbovu.....

Over thinking is what kills you....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…