Style za wanaume wa Dar kutongoza

Ndio maana wanaume wa dar mnapenda kuliwa 0714 kwa sababu ya kupenda kitonga!!
Mjini ni kutumia akili kubwaaaaazzzz,shamba ni nguvu kubwa bila kushirikisha le akilizzzzz
 
mkuu mm siwez kua mwanaume wa Dar nyie hamna kitu madem zenu wakija huku mkoan wanawaponda sana
Mbona tukija huko mashambani tunawapa mijeledi hivyo hao wanawake wenu,kila wakituona wa dar full shobo na huwa siwaachi nawa shughulikia ipasavyo
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
 
Ni kama kuna ukweli flan ivi[emoji23] [emoji23]
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Mbona umemsahau Ray mzee wa kunywa maji
 
Wamekusikia mwanamke wa mkoani
 
Mi nafikiri bongo fleva ndiyo iliyowaharibu. Wao kila kitu ni kuiga na fake.
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Umemsahau yule anaekunywa maji kwa wingi awe mweupe.
 
Hivi mnataka kuzichapa et ee?Ss sijui nani atashinda kati ya wa dar na bara.Hahaaaaa wanaume wa dar bwanaaa
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Naogngezea (e)Sam misago (f)Perfect chrispin (g)james delicious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…