Style za kisasa

mbona sioni style hapo!!
kawaida tu!
 
Huku ni kualika wabakaji and later kulalama na kufunga watu bure!
 
mnaendelea kueneza elimu ya ukahaba kwenye jamii.
 
Vizuri kuhifadhi mafuta uwani, kuliko kutengeneza kitambi
 
Huku ni kualika wabakaji and later kulalama na kufunga watu bure!

Wengine tupo very very sensitive yaani ukiona pale juu ya goti chini ya paja kwa nyuma ya goti tunaanza kutembea huku tume-bend kidogo maana mtambo unaanza kutamboka
 
Wengine tupo very very sensitive yaani ukiona pale juu ya goti chini ya paja kwa nyuma ya goti tunaanza kutembea huku tume-bend kidogo maana mtambo unaanza kutamboka

Kimbweka ufunge speed governor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…