Style ngumu kumfikisha mwanamke kileleni

Sasa watu mnakwama wapi jamani?? Njia rahisi yabkumfikisha kileleni nikwamba we mpeleke taratibu taratibu haswa wale manyama uzembe wale amabao sio vibonge wepesi ,, tembea naye mpeleke taratiiibu kwa mwendo wa kawaida kwenye kijilima na ukifika kwenye kijilima juu kabisa unamwambia kua hapa ndipo kileleni kabisa, na uhakikishe unamuuliza kama kweli kafrahia safari,,, na jitahidi kumu exprole kama kuna jipya kajifunza kupitia hiyo safari/ route.[emoji2][emoji23][emoji2]

Kwahyo sio mpaka eti upande mlima kilimanjaro kujifanya kamanda nyirenda kutatuponza wengi jamaniii maana kumfikisha kilele cha mlima mkuuubwa ni kujipa tabu tupu[emoji41][emoji41][emoji41]

Hivi sijui nilkua naandika nini[emoji37][emoji37] ngoja kwanza nitarudi[emoji575][emoji575][emoji248][emoji248]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nyirenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyirenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta mtu anakubinua binua kama nini jamani, na hujakosea kuangalia yale mavideo yao na kuiga iga style za ajab ajabu watu wanaona dili, mko kitandani utadhani mnapigana jamani

Pole sana. Usimpe tena papuchi huyo bondia
 
Back
Top Bottom