lahaulahhh hii nayo ipooo??😱
ndo mana mnakimbiwa wajukuu zangu
Wengine wanaiita popo kanyea mbingu
nakuelewa mjukuu wangu unapenda mikiki weyeeTupo tofauti
Kheee nikwambie halafuWe ipi inakukuna...?
Aah wapi
Mikiki ndio nn tenanakuelewa mjukuu wangu unapenda mikiki weyee
Kafanye homework. Kesho nakusanya madaftari kusahihisha
mi nginja nginjaMikiki ndio nn tena
Hoyeeee!!Missionary style hoyeee!!!
Niifanyie kaziKheee nikwambie halafu
Utakuta mtu anakubinua binua kama nini jamani, na hujakosea kuangalia yale mavideo yao na kuiga iga style za ajab ajabu watu wanaona dili, mko kitandani utadhani mnapigana jamani
Babu gani anajua mi nginja nginjami nginja nginja
Nitakuja ulipo kukwambiaNiifanyie kazi