Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Style mpya za kudai haki vyuo vikuu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HAKI USAWA, May 3, 2012.

 1. H

  HAKI USAWA New Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya Management za vyoo vikuu (vilivyo vingi) kushinikizwa na serikali kuanza utamaduni wa kufukuza watu kiolela wanapodai haki zao eti wanasiasa na hadi sasa wengi bado wako nyumbani kutoka vyo mbalimbali,
  Je wewe kama mtaanzania unashauri wanafunzi wa vyoo vikuu wadaije haki zao ili wapatiwe kwa wakati? Mfano UDOM hawajapata BOOM hadi sasa? Je wafanyeje? maana wakiandamana kwa amani bodi iwape fedha wanaambiwa wana-chadema.
  :kev:

   
 2. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,676
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Migomo kwani UE zinakaribia? au mna test?
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 3,359
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  Ni VYUO vikuu, siyo vyoo!
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,319
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Vyoo vikuu!? Duh!
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,837
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  makubwa haya ya vyoo vikuu
   
 6. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi nawe umemaliza haja yako kubwa ya elimu ya juu kwenye moja ya hivyo vyoo vikuu?
   
Loading...