Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,836
NG'OMBE ABEBWA NA BODA BODA...................................
Tz awataki makuu wanapandisha kwenye ndege.
Na Yanga mkuu
Haaa haa Mkuu hapa napo Yanga kapakatwa na nani?
Simba kupakatwa na nani Mkuu Ngekewa?
Simba kupakatwa na nani Mkuu Ngekewa?
![]()
NG'OMBE ABEBWA NA BODA BODA...................................
Haina haja ya kuswaga kwenda mnadani ni Bodaboda tuu Mwanawane![]()
NG'OMBE ABEBWA NA BODA BODA...................................
he he he kama labda kafungwa kamba lol kule miguuni kwa mbele na nyuma hafurukuti...Alafu alivotuliwa sasa...