Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Wakati wa utawala wa G.W Bush, joint American-Israel experts walikaa waka-design "kirusi"-(Malicious Computer Worm). Kirusi hiki kina uwezo wa kushambulia mifumo mikubwa ya Viwandani (Industrial Computer systems) "ICS".
Utendaji kazi wake ni kuwa, kirusi hiki kina-target Programmable Logic Controllers-PLCs,Mfumo unaoendesha "Elecromechanical processes, mfano, Mifumo in ayoendesha mashine katika viwanda vikubwa na pia
Mitambo ya kufua na kutenganisha viambata mbalimbali vya nyuklia - (Centrifuges for separating Nuclear material.)
Stuxnet ina-Exploiting four zero-day (Huu ni mfumo hatari utumiwao na hackers) flaws, Stuxnet functions by targeting machines using the Microsoft Windows operating system and networks, then seeking out Siemens Step7 software
Stuxnet inaweza kushambulia mifumo kama "supervisory control and data acquisition (SCADA)".
Kirusi huyu anakuwa katika module 3:
1.WORM- Executes all routines related to the main payload of the attack
2.Link file- Automatically executes the propagated copies of the worm
3.Rootkit- Component responsible for hiding all malicious files and processes, preventing detection of the presence of Stuxnet.
Disemba 25th 2012, Kirusi huyu alitumwa katika Nuklia plant ya IRAN, Na ikatafuna mfumo wa uendeshaji. Iran akalia kilio cha mbwa na kulaani Maadui wa Kizayuni..
Ubaya wa Stuxnet, Ikisha fanya yake, inajifuta..-Self erase kuondosha trace za "Ushahidi" Inasemekana, hata a foiled North Korea Missile test ni kazi ya STUXNET.