Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,807
Ungetutajia iyo operating system wanayoitumia tuijue
Red STAR OS
Ungetutajia iyo operating system wanayoitumia tuijue
Wameishi ndani ya vikwazo na wameweza kutengeneza vitu vyao wenyewe hv wasingekuwa na vikwazo wangekuwa wapi? Kweli shida huleta maarifa bravo NKNawaonea huruma Wananchi wa N.Korea,uchumi wao utayumba sana,na sababu tu ni dogo anataka kutunisha msuli.Ikumbukwe kuwa hapo walipo wanaishi ndani ya vikwazo na bado wanajiingiza vitani.
Hao S Korea na Japan nawaonaga kama masnitchMapanki yupo vizuri. Sasa anamwendesha makamu wa rais wa US kuzunguka sehemu mbalimbali kuomba msaada wa kumshambulia mapanki.
Mapanki anachonifurahisha zaidi ni pale anapowanyima usingizi US, S.KOREA na JAPAN. Wote hawa sasa hivi ni matumbo joto.
Wakati wa utawala wa G.W Bush, joint American-Israel expert walikaa waka-design "kirusi"-(Malicious
Computer Worm). Kirusi hiki kina uwezo wa kushambulia mifumo mikubwa ya Viwandani (Industrial Computer systems)
"ICS".
Utendaji kazi wake ni kuwa, kirusi hiki kina-target Programmable Logic Controllers-PLCs,
Mfumo unaoendesha "Elecromechanical processes, mfano, Mifumo inayoendesha mashine katika viwanda vikubwa na pia
Mitambo ya kufua na kutenganisha viambata mbalimbali vya nyuklia - (Centrifuges for separating Nuclear material.)
Stuxnet ina-Exploiting four zero-day (Huu ni mfumo hatari utumiwao na hackers) flaws,
Stuxnet functions by targeting machines using the Microsoft Windows operating system and networks,
then seeking out Siemens Step7 software
Stuxnet inaweza kushambulia mifumo kama "supervisory control and data acquisition (SCADA)".
Kirusi huyu anakuwa katika module 3,
1.WORM- "executes all routines related to the main payload of the attack
2.Link file-"automatically executes the propagated copies of the worm
3.Rootkit-"component responsible for hiding all malicious files and processes, preventing detection of the presence of Stuxnet.
Disemba 25th 2012, Kirusi huyu aliumwa katika Nuklia plant ya IRAN, Na ikatafuna mfumo wa uendeshaji,
Iran akalia kilio cha mbwa na kulaani Maadui wa Kizayuni..
Ubaya wa Stuxnet, Ikisha fanya yake, inajifuta..-Self erase kuondosha trace za "Ushahidi"
Inasemekana, hata a foiled North Korea Missile test ni kazi ya STUXNET

Hivi kwa akili za haraka haraka tuu wangekuwa wanatumie internet ya Mmarekani wangekua na kiburi kiasi hiki?Na ivi, wanavyochelewa kumshambulia tayari atakuwa kashaingilia Saver nyingi za North Korea. Internet ni mali ya Marekani kwa iyo hata iyo operating systems anaweza akaingilia pia
Inaitwa RED STAR OS ila chanzo kilikua Linux os ila kwa sasa inajitegemea yenyewe siunajua mwanzo lazima uwe tegemeziUngetutajia iyo operating system wanayoitumia tuijue
US ana uwezo wa kuifuta N.Korea ndani ya dakika tano,itanyeshewa mvua ya makombora ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe,US anahofia kuwavuruga Japan na South Korea kiuchumi na kijamii,na hilo ndilo linalomfanya N.Korea aendelee kutambaMapanki yupo vizuri. Sasa anamwendesha makamu wa rais wa US kuzunguka sehemu mbalimbali kuomba msaada wa kumshambulia mapanki.
Mapanki anachonifurahisha zaidi ni pale anapowanyima usingizi US, S.KOREA na JAPAN. Wote hawa sasa hivi ni matumbo joto.
Alie kwambia kuwa us wanamwogopa mapank ni nani?kinacho nipa raha wafuasi wa u.s wanatangaza walivyo vizuri ila u.s wenyewe wanamwogopa mapanki
vita haina macho hata uwe na virusi kama ebola wakikuwahi unapigwa tu
Umeandika kishoga shoga sana. Hivi wewe ukiwa na bunduki na unaifungua na kuitest majirani zako wakushtaki unawatishia amani?Mimi ninahisi USA anavyoattack NK anaenda kama kivuli cha UMOJA WA MATAIFA.
kabla ya kujadili outcomes ya hii vita lazima mjue chanzo. Chanzo ni "silaha za nyuklia"
Majaribio ya mara kwa mara ya makombora ya nyuklia yanayofanywa na Korea Kaskazini mbali na taarifa za uchokozi yanaendelea kutia wasiwasi mbali na kuyakasirisha hata mataifa ya eneo hilo.
Ikumbukwe silaha za nyuklia zinatishia amani na utulivu, jukumu la Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, inadhibiti utengenezaji na matumizi ya silaha za kinyuklia kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya kizazi kijacho na ulimwengu katika ujumla wake.
Madhara ya matumizi ya silaha za kinyuklia linaweza kuwa ni janga la kimataifa na watu wengi wataathirika. Kwaiyo hii sio vita ya USA tu, bali UN na dunia kwa Ujumla..
Ushabiki ukae pembeni uyu NK akiendelea na izo fujo zake haitishii tu kwa mhasimu wake ambaye ni marekani bali hata sisi athari zitatukuta kwa namna moja au nyingine.. NK lazima apingwe kwa nguvu zote!
Akili zako kama Mende.Umeandika kishoga shoga sana. Hivi wewe ukiwa na bunduki na unaifungua na kuitest majirani zako wakushtaki unawatishia amani?
Huyo shoga marekani ni nani aliyempa kibali chakuamuru nani awe na nuke na nani asiwenazo? UN ni chombo cha washenzi tu wanaotaka kuimiliki dunia. Mbona mataifa kibao wanazo nuke hawazuiwi kutengeneza?
Tangu umiliki smartphone ulishawahi kuona taarifa kuwa n.k amevamia taifa lolote? Kila nchi inayohaki yakuwa na silaha ya aina yoyote ile kulingana na upevu wa teknolojia yake.
North ana nuke for years yuko kimyaaaaa, waambie shogaz wapeleke marinda yakatatuliwe
Zakwako zimejaa maviAkili zako kama Mende.
Bro ebu chill kidogo.. Nilipochangia hapo juu kuhusu hii ishu ya US vs NK, nilitazama mbali kama binadamu na hili jambo ni mtambuka sio la NK au USA peke yao bali athari zake ni kidunia (mass destruction).Umeandika kishoga shoga sana. Hivi wewe ukiwa na bunduki na unaifungua na kuitest majirani zako wakushtaki unawatishia amani?
Huyo shoga marekani ni nani aliyempa kibali chakuamuru nani awe na nuke na nani asiwenazo? UN ni chombo cha washenzi tu wanaotaka kuimiliki dunia. Mbona mataifa kibao wanazo nuke hawazuiwi kutengeneza?
Tangu umiliki smartphone ulishawahi kuona taarifa kuwa n.k amevamia taifa lolote? Kila nchi inayohaki yakuwa na silaha ya aina yoyote ile kulingana na upevu wa teknolojia yake.
North ana nuke for years yuko kimyaaaaa, waambie shogaz wapeleke marinda yakatatuliwe
Nipo sawa kama unavyomuona Kim Kiduku. Atengeneze zakutosha tu maelfu kwa maelfuBro ebu chill kidogo.. Nilipochangia hapo juu kuhusu hii ishu ya US vs NK, nilitazama mbali kama binadamu na hili jambo ni mtambuka sio la NK au USA peke yao bali athari zake ni kidunia (mass destruction).
Silaha za nyuklia madhala yake ni mabaya sana kwa mazingara na radiation na fall out zake zinaweza kubaki aridhini kwa muda mrefu sana na kuendelea kudhulu viumbe hai kwa muda mrefu sana! Silaha za kawaida hazina madhala ya namna hiyo, usilinganishe. Kwa mtu mwenye akili hawezi shabikia hili suala hili jambo kwa hali yoyote ile.
Jambo Jingine Busara Ikutawale Kijana, Binafsi Sijatukana Mahala popote Pale Nilipokua Nachangia Hili Suala, Kama Hiv Ndio Jinsi Unavyopambanisha Hoja Inanitia Mashaka Kwamba Hauko Sawa Sawa.. P.S mm sio NK wala USA sina direct expection juu ya vita hiyo, nimetoa maoni yangu kama binadamu aisee.
Cyber war... tutasubiri sana waafrika
Kwa hiyo hicho kirusi,kwa mfano kikitumwa katika mitambo ya kielektroniki ya umeme,kinaweza kucheza na kompyuta na kuruhusu umeme mwingi sana mpaka kuharibu mitambo yote nchi nzima au kuruhusu umeme kidoogo sana!
Tanesco inabidi wawe akili moja mbele,this is dangerous,tunaweza kuanzia kununua mitambo upyaaaa!!