Mentor rudi nyumbaniiiiiiiiiiiNikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.
All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.
Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.
Miss Kim ATAKUA NA BAHATI SANA AISEE amepata bwana materialNikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.
All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.
Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.
WAKIKATAA kupokea naenda bila mahariNikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.
All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.
Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.
ha ha ha ha mkuu hapo sasa hii familia ya profesa wakikataa mahari yangu.
nakuja kwako aisee
Ha ha haaaa maadam wewe upo yote heri mkuu!!!!
Huyu shemeji MKUU rasmi ni cheo kipya na kimezingatia ugatuzi wa madaraka naona!!!!!
At some point in life, those "things" have to be applied..otherwise maisha hayataenda..!
Okeee kumbe ndo weweee ........................ bass nshajua
Kama ndio yule dada niliemuona pale... binti mashallahhh!!!! You are very created.
Nop, hujanipata. Nilimaanisha kuwa kumbe ni wewe unayeripoti habari za Kasinde na watu wengine mahala palee okeee. Na si kuwa ni wewe uliyenidondoshea madolari nop, kwani wewe ni kijana? wewe si mzee..........!!!??? looh!! Nilipokuwa beach sikuona wazee wa rika lako halafu from toyo bodaboda to range new model.............. mmmhhhhh sio wewe bana, the dude was Nyani Ngabu na nimeshamlipizia kisasi alikomajee, hana ham na mimi. Pamoja na kuwa nililigonga gari lake na kumpiga ngumi ya kwenye bega bado alinifata polisi kituoni nilikokuwa nimejipeleka kujishtaki na kunitoa, akafuta kesi kisha akanimwagia dolari nyingine.
Uligonga gari yake kwa mbele au?
nilikosa greda hivo nilikuwa na nyundo nikaigonga gari ya Nyani Ngabu kwenye bonnet mbele, kwa nyuma na kwenye milango yote ubavuni. Alikuwepo eneo la tukio nilipomuangalia usoni alionesha kuchukia ila akajistukia akajidai kucheka na kutoonesha kukasirika.
Hahahaaaa umetumia tafsida kali mimi nilidhani ni hiviView attachment 175141View attachment 175142