Aminia. Ila kwa watoto wa mjini kucheza mapicha kama hayo ndo zao. Mi nakumbuka moja nilicheza nipo kwenye train ya Tazara. Kitu Dar - Mbeya. Mwanao nimekata tiketi kajamba nani halafu ni mchongoma wa kutosha. Kajambanani hapakaliki.....full misele 2nd class na 1st class. Si ndo nikakutana na bonge la toto mitaa ya 1st class, halafu likanishobokea tu. Story 2tatu akaniuliza uko behewa gani.....kama kawa, sikutaka kujishusha. Nikamwambia nipo 2nd class. Hahahaaaa....picha linaanza demu anasema ''twende room kwako''. Duh!