Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,484
- 167,324
Hii ukisimama madhabahuni umejaa nguvu za Mungu a.k.a upako ni tamu kama ninišhii zaburi iishi sana.. kuna sehemu niliwasomea ndugu wajumbe, aisee kama hongera na sifa zingekuwa zinageuka kuwa pesa, basi ile siku ningetajirika.