STUKA!!; Hii tu ndio janja ya CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

STUKA!!; Hii tu ndio janja ya CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, May 31, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unveil the Tanzanian Political Horizon popote ulipo!

  [h=6][/h][​IMG]

  Huo ndio mtaji waliobakiza!

  SOSI;UsoKitabu!
   
 2. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,275
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha alishasema vicent Nyerere kuwa badala watembee uchi basi wapokee vitisheti
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  usifanye mchezo na dhiki jamani.
  Yeye mwenyewe anafikiri watu wanagombania chama kumbe wanagombea Tshet!!
   
 4. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Katika kutangaza chama ni muhimu kuweka mabango, vipeperushi,fulana, kofia, kanga na vitu vingine.

  so sioni kama ni tatizo hapo!
   
 5. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  MODS , hii thread iunganishwe. ipo nyingine kama hii
   
 6. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mkoani Mara wanaovaa nguo za CCM ni wachache sana. Hata wakipewa bure hawataki. Mpaka hivi sasa hakuna alieenda kujaza fomu za Uongozi wa Serikali za mitaa kupitia CCM.
   
 7. R

  RMA JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 410
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo inabidi Chadema watumie makachero watakaojifanya kuwa ni ccm ili wachukue hizo fomu na kisha kutwaa uongozi wa serikali za mitaa. Chadema wekeni mapandikizi yenu ndani ya ccm ili ife vizuri!!
   
 8. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,322
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  DUH! maskini wapigania uhuru wetu (wazee)
   
 9. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Kila kitu kina life cycle ila hata chadema naona maendeleo bado pia wataona watu wachache pale itakapobadilika..........
   
 10. R

  RMA JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 410
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kweli kwamba ccm pamoja na usheani wote huu bado tu wanataka kuendelea kutawala?[​IMG]Mauaji ya mwenyekiti wa Chadema!!!
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Umasikini wa kipato huleta umasikini na ufinyu wa akili!!!!!!!
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo photo..naomba usiendelee kuianika hivyo!
   
 13. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 379
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nakuunga mkono. Inabidi tuheshimu na kumpa privacy marehemu na pia tuheshimu hisia za familia yake hata kama tuna masikitiko na tulimpenda, kumthamini na kuheshimu mchango wake
   
 14. l

  leekud Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani tangu tarehe 5 mwezi 2 mwaka 1977 bado wanatangaza Chama kwa khanga na T shirt? Hatari sana mpaka waje wafike kujitangaza kwa sera na amendeleo Mlima Kilimanjaro utakuwa umefika Dodoma unarudi kwao.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160


  Yule mtumwa wa ccm aliyetumika katika mauaji haya ya kinyama atiwa nguvuni huko Mkoani Singida akiwa kwa mganga wa kienyeji akiaguliwa!

  Ngoja tuone haki huaga ikoje ktk serikali iliyoko madarakani.

  Na ameshafikishwa Mkoani Arusha rasmi.
   
 16. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Picha imenisikitisha sana!yaani!Mungu atusaidie dhidi ya huu unyama!
   
 17. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 321
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 180
  Sio kweli. CCM ina Ilani ya uchaguzi. Kwa wote wenye mapenzi na nchi hii wstapima utekelezaji wa ilani ya uchaaguzi.
   
 18. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 321
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 180
  Ni uchaguzi ujao pia watapima ilani za vyama kabla ya kuamua.CCM has the best manifesto
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Umenena kaka
   
 20. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lakini si ndio hali halisi ya vitendo vya viongozi wa chama tawala, samaki mmoja kwenye kapu akioza huo uvundo utauvumilia?????

   
Loading...