Stuck on You.....

Stuck on You.....

Habari za mchana waungwana.

Naombeni wenye mahaba na miziki ya malavi davi mnisaidie. Kasie Napenda sana mziki na nyimbo bin kuimba, na huwa natumia sana maneno ya nyimbo kama ujumbe as kumpelekea mtu wimbo ausikilize.

Huu wimbo (Stuck on You) ni wa Mahaba maana miaka ile ya 80 ilikuwa kawaida maharusi kufungua mziki na huu wimbo.

Mara nyingi Huu wimbo nimekuwa nikiusikiliza na kuimba huku nikiigilizia sauti ya Lionel Richie....(sauti tamu kama ya Dadii hehehehe).

Ila nimekuwa nikijiuliza, knobs maneno (lyrcs) za huu wimbo zinaonesha kama mwanaume aliikimbia nyumba akamuacha mkewe au mpenziwe na kwenda kutangatanga na wapenzi wengine. Sasa anamuimbia mpenziwe kuwa anarudi nyumbani na Kuwa safari hii atakaa au hatoondoka tena na mavurugu yote anaacha huko.

Kama niko sawa mwanaume Ndo anaomba radhi kubembeleza penzi arudi kwa mkewe.... Bado sijaelewa naombeni uchambuzi wa kimahaba.

Si kuwa nataka mtafsiri laah nataka tuu uchambuzi....

Na kama uko kama ninvyoelewa hapo juu, iweje maharusi wanautumia kufungulia mziki? Au wanacheza beats za mziki na si maneno....??

Stuck on me by Lionel Richie...



Huu sijautuma kama dedication kwa mtu yeyote yule, wala hakuna aliyenitumia huu wimbo.

Kasie Mahaba Matata.
Jaribu kucheki na wa Gerald Levert uitwao "Mr.Too damn to you" hutojutia ujumbe wa maloves yaliyomo ndani yake na wa Monica Anold "before u walk out of my Life".. Niletee mrejesho bila kusita
 
Sisi huku kwetu Daaaaar (Dareda) ni usiku Kasie. Hako kawimbo kananoga wakati wa lunch time
Dar ile ukitoka katesh, kabla hujaingia babati, ukienda mbele magugu, magara afu unafika mbulu, hapo ndo utakuta hako kawimbo na kale kingine cha my endless love ft Mariah Carey
 
Asante kwa kumleta huyu gwiji la muziki wa kubembeleza! Siku nyingine tuletee kibao chake cha "Do it to Me" nitakusaidia kuchambua

Hahahaaaaa nimeusikiliza huo "Do it to Me"

#cantgetenoughofmyDadii..... malovedove bin malavidavi heheheee
 
Oscar/Golden Globe Award winning Sequel

Wee mtoto wa Mama Batalingaya, ntafufua kesi ya mabungo na sanvita ujue.....

Halafu nimekumbuka, Dec ulinichomesha mahindi wewe.....

Wacha niandae file la kesi...
 
Jaribu kucheki na wa Gerald Levert uitwao "Mr.Too damn to you" hutojutia ujumbe wa maloves yaliyomo ndani yake na wa Monica Anold "before u walk out of my Life".. Niletee mrejesho bila kusita

Woow, nimezisikiliza zote ziko vizuri.... Mahaba mulemule, ila Stuck on You mwisho wa matatizo.

K' Mahaba.
 
While roaming around...... I find this...



The reggae thing is crazily killing me softly looh, hapa naimba kama teja... hahahhaaa.

Kasie Madly in Love
 
Back
Top Bottom