Stuck on You.....

Stuck on You.....

haya katume dedication sasa...teh teh teh

Hahahahahahaa unajua nini, alipousoma huu uzi tuu akanijia wasap....

Akaandika hivi, " Stuck on You (***)......

Nami nikamjibu hivii, "And I love you Dadii.... Mmmuaah...."

Ntampigia baadae nimbebishe, dedication matata wiki ijayo...
 
So hard to see... That a woman like you can wait around for a man like me.. Guess I'm ooonn my waaayyy..
Mighty glad you stayed.. [emoji4]
🎼 Oh, I'm leaving on that midnight train tomorrow, And I know just where I'm going....
I've packed up my troubles and I've thrown them all away,'Cause this time little darling
I'm coming home to staaaaaaaay......🎼
 
Imebidi niusikilize kabisa.

Asante kwa burudani
kumbe tupo wengi..mimi ile kuona Heading tu....kabla hata ya kusoma content nikau tafuta nkauplay then nkarudi kwenye thread sasa..

Raha ya huu wimbo hata uwe na fujo vipi Wimbo haukuruhusu kusumbua watu...Ni melody na beat tamuuuuu, ukiongeza tu sauti kwa fujoooo Lionel anakutuliza anaanza upya...

stuck on youuuu kali sana
 
Hahahahhaaahahahaa hapo kwenye rangi umenipa tabasamu mwanana.....

Yaani jinsi nnavosoma comment za watu mzuka unazidi kupanda.....

Tabasamu halikauki na macho yanakaa nusu mlingoti.
 
🎼 Oh, I'm leaving on that midnight train tomorrow, And I know just where I'm going....
I've packed up my troubles and I've thrown them all away,'Cause this time little darling
I'm coming home to staaaaaaaay......🎼

Yaani leo Dadii atapata tabu sana maana mzuka unapanda hadi nasisimkwa.....

Hili jiwimbo ni Mahaba mahabani hehehee.
 
alafu leo unavyompania ndio atarudi atakuchefua hadi mizuka itayeyuka..ngojea tu arudi nakwambia Kesho utatuambia mnuno wake 😂 😂 😂
 
Hahahahhaaahahahaa hapo kwenye rangi umenipa tabasamu mwanana.....

Yaani jinsi nnavosoma comment za watu mzuka unazidi kupanda.....

Tabasamu halikauki na macho yanakaa nusu mlingoti.
Mzuka ukipanda unaweka singeli..unashuka wenyeuuweeeee...msaga sumu hapoooo😂😂😂😂
 
kumbe tupo wengi..mimi ile kuona Heading tu....kabla hata ya kusoma content nikau tafuta nkauplay then nkarudi kwenye thread sasa..

Raha ya huu wimbo hata uwe na fujo vipi Wimbo haukuruhusu kusumbua watu...Ni melody na beat tamuuuuu, ukiongeza tu sauti kwa fujoooo Lionel anakutuliza anaanza upya...

stuck on youuuu kali sana
Umeongea sawia kabisa

Nilituliaa wakati nausikiliza. Halafu huwa napenda nyimbo za lavidavi za kizamani japo mimi ni wa kisasa.
 
Mzuka ukipanda unaweka singeli..unashuka wenyeuuweeeee...msaga sumu hapoooo😂😂😂😂

Singeli hapana aiseeh,

Bora taarab ntarembua macho wakati naimba na kubinua vidole wakati nacheza heheheheee.

Kasie Matata.
 
Hahahahaha Kasie bingwa wa kujihami, nimejiwahi Dadii asijeninunia akidhani namdediketia mtu kumbe nataka uchambuzi tuu.
Lugha inanichanganya Mahaba yananikoroga....

K' Matata.
Teh teh..Ye akinuna wenzake watakula..
 
Yaani nasubiria watu watiririke hapa uchambuzi wa hizi lyrics....

Sauti sasa ya Lionel..... Guess am on my way.....
Asante kwa kumleta huyu gwiji la muziki wa kubembeleza! Siku nyingine tuletee kibao chake cha "Do it to Me" nitakusaidia kuchambua
 
Hahahahahahaa unajua nini, alipousoma huu uzi tuu akanijia wasap....

Akaandika hivi, " Stuck on You (***)......

Nami nikamjibu hivii, "And I love you Dadii.... Mmmuaah...."

Ntampigia baadae nimbebishe, dedication matata wiki ijayo...
Oscar/Golden Globe Award winning Sequel
 
Back
Top Bottom