Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,036
- 22,584
swali la nyongeza tu kabla hujaeka hio rom uli wipe dalvik cache? kama hapana basi ndio imesababisha hivyo mafile ya rom mbili yamekutana. kama una access ya cwm unaweza kuwipe hizo cache kwanza
flash official na odin
-chief odin wanasema ni kwa ajili ya samsung ila htc haina download mode
-nilipata file lake hili kwa ajili ya kurudishia rom yake ya awali lakini sijapata namna ya kurun hili file na nimeweka cwm tayari ila niki run inaleta 'error 7' ambayo nikigoogle sipati alternative
OTA_ENDEAVOR_U_JB_50_S_HTCCN_CHS_4.17.1400.4-3.16.1400.8_release_330242rgnddjjw0ydcj915.zip