Struggling To Abstain



Kama unataka kumasturbate si ina bidi izione ponography pia-which is addictive ,sasa hili ni suluhisho ama nikuongezea shida
 
Kama unataka kumasturbate si ina bidi izione ponography pia-which is addictive ,sasa hili ni suluhisho ama nikuongezea shida

shosti wewe ongea na mumewe ujipatie haki yako ya ndoa.....
kuficha ficha maradhi kilio kitakufichua, kama hutakuwa muwazi utakuja kulipa gharama kubwa sana kwenye hiyo ndoa yako!!!
 
Nilitaka nikushauri lakini nimeonelea sitofanya hivyo. Mambo mengi katika maisha unajifunza mbele ya safari. Tamaa za mwili haziishi kwa kukuatana mara moja au mara mbili; ni sehemu ya maisha na kwa vile umeshajua kuwa wakati wako ukija unakuwa na hamu zaidi ina maana ya kuwa hata ukipewa mwezi huu mwezi ujao utataka tena; na mwezi mwingine vile vile.

Hata mumeo akiwepo haina maana atazimaliza (kumbuka huwa haziishi, zinatulizwa kwa muda tu); so akikupaa asubuhi utataka jioni, akikupa jioni utataka na mchana, akikupa leo utataka na kesho alimradi hamu yaongeza hamu! Kutokana na hili, watu hujikuta wakicheat wakidhani watamaliza kumbe wanaongeza tu, na ukicheat mara moja utataka tena na tena.. na mwisho inakuwa ndani yako.. kwa sababu sex yenyewe is addictive vile vile! Ndio maana wengine wamejikuta wakiruka madirisha ya nyumba zao na wengine kutoweka kwa siku kadhaa ili wakapate na wakirudi wanajisikia vibaya lakini wakifikiria kupata tena wanakuwa ... "mapepe"!

Hakuna mtu anayeweza kukusaidia kwa ushauri kwani tamaa za mwili hazitaondolewa kwa ushauri au kuwekwa kikao na mtu yeyote auushauri nasaha. Ningekushauri lakini kwa vile tayari umeshafikia uamuzi, wewe utekeleze tu na uwe tayari kuishi na matokeo yake. Kwa sabahu mwisho wa siku, sisi wengine tutakuwa tumekaa kwenye kompyuta zetu tunajadiliana siasa na udaku wakati wewe uso umefura, ukibubujikwa na machozi! utakuwa peke yako!
 
Unagopa maradhi kwani una ALLERGY na condom?

Kuna maradhi kondom haizui-hata HIV inaweza samabazwa kupitia kiss na oral sex,tena kondom sio 100% inaweza pitisha virusi au ipasuke.Mimi naogopa!
 

labda kama anafikia ukoma in the next two months......
well said mzee wa busara...
 
Kuna maradhi kondom haizui-hata HIV inaweza samabazwa kupitia kiss na oral sex,tena kondom sio 100% inaweza pitisha virusi au ipasuke.Mimi naogopa!

waogopa nini na wewe mtumzima sasa.
 
Kuna maradhi kondom haizui-hata HIV inaweza samabazwa kupitia kiss na oral sex,tena kondom sio 100% inaweza pitisha virusi au ipasuke.Mimi naogopa!

wewe mi naona kamunaijua suluhu ya tatizo lako bana....
 
Kuna maradhi kondom haizui-hata HIV inaweza samabazwa kupitia kiss na oral sex,tena kondom sio 100% inaweza pitisha virusi au ipasuke.Mimi naogopa!
Mi ilishawahi pasuka mkuu, you are right! condom haziaminiki! Mara nyingi unaponogewa jamaa anaweza ongeza spidi kitu kikabasti, itakuwa balaa...mimba njenje...vumilia tu! kila lenye mwanzo linamwisho. mtunzie tu mali yake....
 
wewe mi naona kamunaijua suluhu ya tatizo lako bana....

analijua tatizo lake na anajua dawa.
na kashaamua cha kufanya,anatafuta watu wa kumuondoa woga......
 


Mimi sikuwa na shida alipokuwa karibu mume wangu wala wakati amerejea lakini nikikaa mwezi wa kwanza, wa pili ,ninaanza kuvutiwa na wanaume but only zile siku za ovulation,siku zingine niko poa so nivile hawa wanaume wananikumbusha ninacho kimiss during hot days zangu.
 
vumilia tu ndugu, thats life!

.....Kuvumilia kuna mwisho wake, kama mume wake akikaa miaka zaidi ya 5 hajarudi yeye avumilie tu?

Wewe dada muhimu hapa ni kumwambia ukweli mumeo kwamba wewe huwezi kuishi mbali na yeye ili aamue moja kuishi Nairobi au USA wote.
 

ninachowapendea wadada wa kenya ndo hiki..
wako so open,
angekuwa mtz asingesema,angekwenda kumegwa kimyakimya
 
Ahsanteni sana kwa advice mumenisaidia sana.Nimeona nimwambia mume wangu nina mumiss too much ili tuone tutafanya vipi tuwe pamoja.

Nimeona kuwa open ni vyema,although siwezi kumwambia ni tamaa ina nipea stress,nitamwambia nina upweke sana siwezi kuishi mbali naye.

Haya mambo ya sex ni addictive sana.No wonder wengi wakianza wanashindwa kuyaacha hata wakiwachana na wapenzi wao.Especially kama ulivumilia mpaka ukaolewa because unaipa sex value na heshima kubwa maishani mwako kwako sio kitu cha kawaida kama walioanza utotoni.

God Bless!
 

MJ1 ...hii kali..ndio chama gani tena vile?

Hili la kutoku share..nakuunga mkono kabisa... wakati mwingine uwazi unaweza kumponza mtu.
 
Nimeona kuwa open ni vyema,although siwezi kumwambia ni tamaa ina nipea stress,nitamwambia nina upweke sana siwezi kuishi mbali naye.


God Bless!

Precious.. usimfiche mumeo kuwa unamtamani! Biblia inasema "na tamaa yako itakuwa kwa mumeo"! Sasa usiseme mambo ya upweke atakununulia paka bure akupe kampani! Mwambie.. you miss his hands on you, his kisses, his "big ego".. and all that you seem to be wanting. Umfanye huko aliko roho imdunde afikirie jinsi gani akuondoe tamaa hiyo. Ukimuambia huwezi kuishi mbali naye utampa stress nyingine, la maana ni jinsi gani wawili nyie mwaweza kushirikishana ndio maana hayo maandikio yanasema "muachane kwa kitambo ili mpate kusali" vinginevyo itakuwa ni ngono juu ya ngono.. hata wanyama wana take time out!!

sorry.. sikutaka kukushauri. Just ignore me.
 

Hapa ndipo penyewe! Roho inaweza kuruka out of his chest.....
Inakuwaje lakini? ( haya ndio maneno wezi wa waume wa watu huyatumia kuwaiba waume zetu huku tumezubaa lol) Kina shostito mpoooooo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…