Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 May 23, 2011 #1 waungwa baada ya kunisaidia kupata laptop sasa naomba tena msaada wenu kupata decoder tajwa hapo na kwa gharama gani.natanguliza shukrani
waungwa baada ya kunisaidia kupata laptop sasa naomba tena msaada wenu kupata decoder tajwa hapo na kwa gharama gani.natanguliza shukrani
Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 Jun 8, 2011 Thread starter #2 ina maana jf members wote hawajui zinapopatikana au mmegoma kunisaidia! Amoeba, msanii matola rukus na wengine wengi msaada plse.
ina maana jf members wote hawajui zinapopatikana au mmegoma kunisaidia! Amoeba, msanii matola rukus na wengine wengi msaada plse.
HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Jun 8, 2011 #3 Kama ni kwa ajili ya kuchakachua DSTV hatujui zinakopatikana
Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 Jun 10, 2011 Thread starter #4 HOMOSAPIEN said: Kama ni kwa ajili ya kuchakachua DSTV hatujui zinakopatikana Click to expand... ucwe mvivu wa kufikiri.unayosema c matumizi yake.unataka wa2 wote wa2mie mediacom km wewe?kama umekosa mada nyamaza utaonekana wise hata km ni mpumbavu.
HOMOSAPIEN said: Kama ni kwa ajili ya kuchakachua DSTV hatujui zinakopatikana Click to expand... ucwe mvivu wa kufikiri.unayosema c matumizi yake.unataka wa2 wote wa2mie mediacom km wewe?kama umekosa mada nyamaza utaonekana wise hata km ni mpumbavu.