FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Ukipenda amini usipopenda usiamini. Sina sababu ya kudanganya.Huu uongo sasa, khaaaaah
Ukipenda amini usipopenda usiamini. Sina sababu ya kudanganya.Huu uongo sasa, khaaaaah
Yaani ni hatari na nusu.Magoli matano kasha badili dini ajiandae kwenda ihefu, sema angekua kahama uislam sahizi zima moto wangekua kwake
Hawa washapotoka tutawafundisha wajue ukweliDogo kastuka na mambo haya.View attachment 2563675
Madai ya Uwepo wa hicho cha kuingia nacho mkataba ni Kiini Macho.Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.
Na ukiamini tu bila kufanya vitendo vizuri, ni sawa na kuwa na mkataba wa kazi na kazi ulioingia mkataba hutaki kuifanya. Hapo itokee huruma tu ya mwajiri.