ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,049
- 61,375
Stress za mapenzi zinaweza kukufanya ukahudhuria msiba hata wa mtu usiyemjua ilmradi upate tu nafasi ya kulia
Nawasilisha
Nawasilisha
Ndo jukwaa pendwa kwa upande wangu MMU Kule nyuzi za kuwalalamikia mademu zetu huku chit chat tunapunguza stress kidogoStress za mapenzi zimekufanya upost chitchat badala ya MMU
Chelsea vs man u??Both teams will score
naamChelsea vs man u??