am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 506
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stress ni pale kifurushi cha MB kinakata usiku wa manane(mpesa,tigopesa,airtel money na vocha huna) na upo katikati ya ubishi na hautaki kushindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stress ni pale kifurushi cha MB kinakata usiku wa manane(mpesa,tigopesa,airtel money na vocha huna) na upo katikati ya ubishi na hautaki kushindwa.
hii kweli stress inshankuta [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]Stress ni pale kifurushi cha MB kinakata usiku wa manane(mpesa,tigopesa,airtel money na vocha huna) na upo katikati ya ubishi na hautaki kushindwa.
zaidi ya stress's!!Stress ni pale unapomlazimisha mtu muachane halafu akishaoa/kuolewa baadae unagundua ndiye alikufaa ktk ndoa. Ogopa.
hii kweli stress inshankuta [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Ila sikua nabishana umeme ulikatika kote sina pesa simu 7%chaji weeerr......
naongea na mahabubaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na yy hakua ht na mia kwa simu weweeee!!!Hahhahaha pole jamani. Usiku unakua mrefu ghafla.
Huyo unamsalimia tu na kugeuza ulikotoka!Stess ni pale unapokwenda kwa bwanaako tena baada ya kukuita ukakuta anagegeda demu mwingine
na yy hakua ht na mia kwa simu weweeee!!!
kukopa nini?Stress ni pale unapofikisha umri wa kuolewa halafu Kila siku Vidume wanakukopa.
Sasa unataka mie nikupikie?!!!!?
Binti, utaelewa ukikua kidoogo.kukopa nini?
nielewesheBinti, utaelewa ukikua kidoogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dats StressfulStress Ni Pale Umtongoza Demu Akiwa Pekeake Siku Mnatoka Nae Out Anakutambulisha Marafiki Zake Unakuta Ni Visu/Hottier,Cuter 100000 Times Than Her. Unabaki Unajiuliza " Why Da **** Didnt I Wait"
Njoo pembeni nikueleweshe.nieleweshe
mmmhNjoo pembeni nikueleweshe.