stress mangement!!!

stress mangement!!!

whenever im stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from stressed situation.

wewe ushapata stress kweli au unatania. au unafikiri kukolofishana na mpenzio ndo stress!?. unacheza.
 
Mi napenda nichat online or sms nikiwa stressed, kwenda Beach, kujinunulia vitu ninavyopenda kama Chocolate na kuangalia Movie za kuchekesha, usiangalie Movie za kukupa hasira au huzuni unapokuwa stressed, unajiumiza kichwa, but ukijisikia kulia, lia kwanza, kula ushibe, kunywa dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa kama umelia sana, then kama ni kwenda Beach, au kuangalia Movie za kuchekesha, kina Bean, Little Man etc ukiwa pembeni na juice nzuri, Chocolate etc do that uenjoy, Movie za kuchekesha zitakufariji sana kuliko pombe too much kama watu wengi wanavyofanya,ni poa pia hata ukiangalia na Company, sio ya waliokuudhi, ili akili yako itekwe na iwe na amani na furaha kupitia that Movie

And dats precisely huwa najaribu fanya smtms i hate kujibizana coz iknw imight say smthn nasty halaf mtu akachukia wakt mi sijakusudia
 
wewe ushapata stress kweli au unatania. au unafikiri kukolofishana na mpenzio ndo stress!?. unacheza.

Hivi we dubu unadhan ukolofi wa mpenzi ndo unifanye niwe stress there are some stuffs bana na sio mapenzi. Muone macho yqmekutoka
 
Hivi we dubu unadhan ukolofi wa mpenzi ndo unifanye niwe stress there are some stuffs bana na sio mapenzi. Muone macho yqmekutoka

hahahahaaaa....!!!. mkuu njoo kwangu nikupunguzie stress. mmwaaaaa....!!!
 
My judgement ndo ananipunguzia stress na sijamuona atiii

Usishangae Malav! Ni kama story ile ya "Aladini na taa ya ajabu!"
ulipatapo kuisoma?
Mara tu Aladini alipohitaji/alipojisikia ombwe, na hisia kumpelekea in some demand, alipoigusa tu a Miracle-Lamp, suddenly kitu kile kilimtokea mbele yake!
Niko mbele zako Beibe!
Sema hun!
Saa zote ndiyo zishakua kamili now!
 
Laaziz sikupatapo kuisoma bt kwasasa najihis mwenye kuijua hito hadith n besides im glad u here n ireal real desperately micing uu loove.
 
Laaziz sikupatapo kuisoma bt kwasasa najihis mwenye kuijua hito hadith n besides im glad u here n ireal real desperately micing uu loove.

Dia, ikawaje nikakusaka kila jukwaa jana, bila mafanikio?
Tatizo mguu wangu wa3 kuanzia jana unanisumbua na wa kuutibu ni wewe!
Fanya juu chini uushughulikie o/wise hali inazidi kua critical !
 
Back
Top Bottom